Kunywea pombe club ni hatari sana

Kunywea pombe club ni hatari sana

Kuna diwani kama sikosei ni Kawa road miaka hiyo alikunywa akajikuta anatapika bar kumbe watu wamefanya yao watu kuja kugundua baada ya kumuona paka naye amekata moto baada ya kula matapishi ya mzee baba katika maisha unaweza hisi wote wanakupenda kumbe hao hao wanakupenda ndio wanakupenda Zaid u R.I.P
Alikuwa na visa na watu sio bure
 
Ukiwa Club jitahidi sana kunywea beer kwenye chupa na uishike popote unaposogea. Usimuachie kinywaji mtu unless ni mtu ukiyekuja nae na una muamini.

Unaweza ibiwa gari, au mali zako ulizo nazo mfukoni. Unawekewa kilevi unawehuka unakuwa haujielewi kila kiru unasema.

Na kama ni Demu unaweza leweshwa kisha watu wakaondoka na wewe wakaenda kukukula bila ridhaa yako na hautafanya lolote watakutupa huko asubuhi utakutwa jalalani tu huko.
Kama ni bar geni hua najikabidhi Kwa meneja na nawataarifu jamaa zangu kwamba lolote litakalonipata nipo sehemu Fulani ndio maana Kuna seke seke limenipata usiku wa kuamkia Leo jumapili meneja kakomaa haswa
 
Yap Bangi inawekwa glucose,mwita,asali au kapange hapo hakuna harufu...
halafu me sihamagi bar na nikinywa wiki tu,mpaka meneja au mwenye bar tutajuana kwa vibweka ntakavyofanya humo ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili mingi mkuu,tunaishi nao..
Bangi tunawasha mpaka kwenye pablik sevisi itakua bar..
Malaya,baunsa au bartender akileta unoko nachukua namba ya mwenye bar halafu atachagua yeye nimpakazie mavi au niendelee kula bulu.
Duuuuuuh!
 
Nani awaue makapuku hawa HELA HAWANA MAISHA YENYEWE WANAYO MAFUPI eti mtu ahangaike kumuwekea sumu
Kwamba mtu ahangaike kumuua Mnywa Gongo?! Hehehe hela yenyewe ya mawazo hata akifa hana anachokiacha duniani zaidi ya Madeni.. Alaf ndio wa kwanza kujifanya kuogopa kuwekewa Sumu.
 
Mpaka mtoto wangu akifikisha miaka 20 ndio naacha,imebaki mitatu(3)...

Mwaka juzi nlikua bar maarufu pale songea mjini ipo mkabala na bank ya crdb(sitaitaja jina) naficha code...

Nikakamua bapa langu halafu nikawasha bangi,nilijisahau sikuweka glucose.. Moshi ukatanda bar nzima ile wanatafuta inapowaka,me nikaagiza bapa nyengine halafu nikazima bange nikawasha sigara...

Walinibebabeba wakanipiga halafu wakanitupa nje...

Kesho nilikuja na polisi kama 8,nilisema nimeibiwa na mabaunsa wameshilikiana na wahudumu na wameniibia kila kitu na ushahidi ni gari nililokuja nalo lilikuepo parking...

Walijuta..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom