Kunywa distilled water

snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,271
Points
1,225
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,271 1,225
Habari,
kuna wenzangu flani wanadai kwa kunywa distilled water for a day bila kula kitu chochote,unafanya detoxification katika mwili,na kwa ujuzi wangu mdogo najua kwamba distilled water haina nutrients zozote.je ni salama kufanya treatment hii,kuna uhalali wowote wa hii kitu?kwa wale mnaofahamu.
na kuna njia nyingine nimesikia(ni tetesi) ya kufanya detox,nimeisikia,eti unaweka miguu kwenye maji na inanyonya all poisons from your body,je ni chemicals gani wanatumia kwenye hayo maji?na je ni safe au ni ujanja ujanja tu?
 
Globu

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Messages
8,120
Points
1,500
Globu

Globu

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2011
8,120 1,500
Duh!!! Hii kali. Namimi nasubiri jibu.
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
226
Points
0
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
226 0
yapo safe sana, kwasababu ni maji ambayo hayana mchanganyiko wa aina yeyote ya element (yaani ni pure H2O) maji yaliyo mengi huwa yana mchanganyiko na element nyengne, ndo mana wakati wa experiment ukitumia maji ya kawaida mara nying unapata wrong data.
distilleda water mfano wake ni waji ya mvua, nilivokua shule nshakunywa sana za lebolatory mzima mpaka leo
 
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,271
Points
1,225
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,271 1,225
yapo safe sana, kwasababu ni maji ambayo hayana mchanganyiko wa aina yeyote ya element (yaani ni pure H2O) maji yaliyo mengi huwa yana mchanganyiko na element nyengne, ndo mana wakati wa experiment ukitumia maji ya kawaida mara nying unapata wrong data.
distilleda water mfano wake ni waji ya mvua, nilivokua shule nshakunywa sana za lebolatory mzima mpaka leo
nimekusoma kuhusu usalama,je katika kufanya detox,inawezekana au ni mboyoyo tu za watu?
 
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,731
Points
1,500
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,731 1,500
yapo safe sana, kwasababu ni maji ambayo hayana mchanganyiko wa aina yeyote ya element (yaani ni pure H2O) maji yaliyo mengi huwa yana mchanganyiko na element nyengne, ndo mana wakati wa experiment ukitumia maji ya kawaida mara nying unapata wrong data.
distilleda water mfano wake ni waji ya mvua, nilivokua shule nshakunywa sana za lebolatory mzima mpaka leo
Nadhani maji ya mvua sio lazima yawe masafi kama distilled water. Aghalabu huyeyusha/kubeba vitu hewani mvua inapoanguka (vumbi, nk).
 
majany

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Messages
1,225
Points
1,225
majany

majany

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2008
1,225 1,225
Nadhani maji ya mvua sio lazima yawe masafi kama distilled water. Aghalabu huyeyusha/kubeba vitu hewani mvua inapoanguka (vumbi, nk).
bIL kutoa huu ufafanuzi...nilitaka kurudi nikasome chemistry ya O'LEVEL!!!
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
yapo safe sana, kwasababu ni maji ambayo hayana mchanganyiko wa aina yeyote ya element (yaani ni pure H2O) maji yaliyo mengi huwa yana mchanganyiko na element nyengne, ndo mana wakati wa experiment ukitumia maji ya kawaida mara nying unapata wrong data.
distilleda water mfano wake ni waji ya mvua, nilivokua shule nshakunywa sana za lebolatory mzima mpaka leo
Maji ya mvua sio distilled water coz sometime inaweza ikanyesha mvua ambayo imecontain acid(acidic rain).
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
226
Points
0
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
226 0
Maji ya mvua sio distilled water coz sometime inaweza ikanyesha mvua ambayo imecontain acid(acidic rain).
Kama ulivyosema sometimes aina ya mvua inategemea na geographical locatio..watu wa geography wataeka sawa
 
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
226
Points
0
S

sky_haf

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
226 0
Nadhani maji ya mvua sio lazima yawe masafi kama distilled water. Aghalabu huyeyusha/kubeba vitu hewani mvua inapoanguka (vumbi, nk).
Vumbi ni kitu cha kuchuja tu, tofaut na combination ya elements..
 
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,731
Points
1,500
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,731 1,500
Vumbi ni kitu cha kuchuja tu, tofaut na combination ya elements..
Rejea chemia yako vizuri. Maji distilled hayawezi tena kuwa na vitu vya kuchuja tu ndani yake kama vumbi.
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Habari,
kuna wenzangu flani wanadai kwa kunywa distilled water for a day bila kula kitu chochote,unafanya detoxification katika mwili,na kwa ujuzi wangu mdogo najua kwamba distilled water haina nutrients zozote.je ni salama kufanya treatment hii,kuna uhalali wowote wa hii kitu?kwa wale mnaofahamu.
na kuna njia nyingine nimesikia(ni tetesi) ya kufanya detox,nimeisikia,eti unaweka miguu kwenye maji na inanyonya all poisons from your body,je ni chemicals gani wanatumia kwenye hayo maji?na je ni safe au ni ujanja ujanja tu?
Mkuu,
a) Huhitaji distilled water ili kufanya detoxification. Maji yeyote yaani yale yanayotoka bombani, kisimani, mtoni, au ziwani hufanya kazi ya kuondoa sumu mwilini, hauhitaji distilled water hata kidogo kwa kazi hii. We chota tu maji yako toka chanzo chochote unachokiamini na uhakikishe tu ni masafi na unywe, tayari pamoja na kazi milioni yatakazofanya mwilini mojawapo itakuwa ni hii ya kuondoa sumu (detoxification).

b) Kuhusu kuweka maji miguuni na sumu zinatoka; huenda hii umeisikia katika kituo fulani cha afya au hospitali. Bado huhitaji kuweka miguu katika maji yeyote yaliyoongezwa kemikali au dawa yeyote ili kuondoa sumu mwilini, we chukuwa tu glasi na unywe maji, utakapokwenda kukojoa sumu zitaondoka tu bila ombi, asikudanganye mtu eti akuweke miguu kwenye nini na umlipe na nini.

Mhimu: 1. Ni vema watu tukajiwekea mazoea ya kunywa maji kabla ya kusikia kiu kwani kiu ni ishara ya mwisho ya mwili kuhitaji maji. Ni kama vile ukilima bustani ya mbogamboga, hausubiri ifike saa nane mchana jua likiwa limewaka ndipo uimwagilie maji bustani yako, ni lazima utawahi asubuhi kabla jua halijawa kali au jioni likiwa limepotea na ardhi imepowa. Lakini cha kushangaza sisi binadamu tunasubiri tukaukiwe na kiu ndipo tunywe maji!. "Our body is more than 75% water, we shouldn't have eaten".
2. Nasisitiza, tunywe maji ya kawaida katika joto la kawaida na siyo ya baridi ya kwenye fridge, hili ni gumu kama utaendelea kusubiri kiu, kumbe inawezekana kabisa kama utajipangia utaratibu kuwa kila baada ya dakika/lisaa/masaa kadhaa nitakunywa maji kwa muda wa siku nzima.

Jisomee kazi zingine 41 za maji mwilini hapa: Kazi za maji mwilini | maajabuyamaji.net
 
kaangwa

kaangwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2011
Messages
644
Points
0
kaangwa

kaangwa

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2011
644 0
Habari,
kuna wenzangu flani wanadai kwa kunywa distilled water for a day bila kula kitu chochote,unafanya detoxification katika mwili,na kwa ujuzi wangu mdogo najua kwamba distilled water haina nutrients zozote.je ni salama kufanya treatment hii,kuna uhalali wowote wa hii kitu?kwa wale mnaofahamu.
na kuna njia nyingine nimesikia(ni tetesi) ya kufanya detox,nimeisikia,eti unaweka miguu kwenye maji na inanyonya all poisons from your body,je ni chemicals gani wanatumia kwenye hayo maji?na je ni safe au ni ujanja ujanja tu?
Kunywa maji haya kama dawa ya kuondoa sumu mwilini inawezekana,lakini kuyanywa kama maji ya kawaida ya kunywa kila siku ina madhara.
Tembelea google ''Distilled water' soma ile sehemu ya EARLY DEATH COMES FROM DRINKING DISTILLED WATER.
 
Forum statistics

Threads 1,296,637
Members 498,713
Posts 31,254,668
Top