Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
zawadi...yaaa mtoto mwingine?Yanatosha shaidi mimi nimemnyonyesha miez 6 bila kumpa hata Maui....kazaliwa na kg alivyotimiza miez 6 anakilo 10...babaake kanipa zawadiii
zawadi...yaaa mtoto mwingine?Yanatosha shaidi mimi nimemnyonyesha miez 6 bila kumpa hata Maui....kazaliwa na kg alivyotimiza miez 6 anakilo 10...babaake kanipa zawadiii
Alafu wanakuaga wanaboa ukiwaambia wanajidai vichwa vigumu eti dokta kasema tuanze kumnywesha uji apate nguvu, uji mtoto wa miezi minne akili ya wapi hiyo 😬😐😐😐😡😡😡😡😡
Nauliza tu koh koh koh mtoto anakaaje 6mnths bila kunywa maji? baby wangu nmekaa nae wiki 2 akaanza kutoka mate mazito afu mengi, anasweat sana na lips zake znakauka mi nkahisi ana kiu ikabidi nianze kumpa maji kijiko kidogo 1, mate yakaisha na lipsi hazijakauka tena!!!
Nahisi wingi wa maziwa unatofautiana.Nishawahi sikia ukifanyiwa operesheni ya uzazi inapinguza maziwa.Hata hivyo kwa wafanyakazi ni mtihani mzito.Mimi nilijaribu kukamua na yakawa hayamtoshi muda nakuwa sipo nikaamua kumpa formula.Kwanini yasitoshe?!
Mama akijitahidi kula vizuri anatengeneza maziwa ya kumtosha mtoto mpaka anashiba kabisa kama we mtu mzima ulokula sahani ya ugali ukashushia na maji.
Honestly Mimi nilinyonyesha mpaka mwanangu aliacha mwenyewe. Na nilikuwa nafanya kazi na kwenda shule full time . Nikiwa kazini au shule , huwa napump usiku wake kabla sijalala na kuyaweka kwenye fridge. Asubuhi nikimdrop mwa mwanangu kwa sitter nadrop na maziwa yake niliyokaamua ,ilienda hivi kwa muda . My dear inahitaji moyo, willing na commitment kunyonyesha. Kazini tunawashauri sana sana breastfeeding kwa Mtoto angalau miezi sita ya mwanzo., ili Mtoto asipate na allergies, or maradhi mengineyo kwa kuwa immune system zao haziko strong ,so breastfeeding inawasaidia sana sana watoto wetu ,. Jamani tukishakuwa wamama inabidi tuu tujisahau kuhusu wenyewe na kuwaza benefits za watoto wetu. Sisemi usijutuze hapana , kwa wale mnaohofia miili yetu mbona breastfeeding inasaidia kupunguza ,na hata gym pia mbona ziko za kumwaga tuu ni kuweka muda Wa kwenda huko na kututumka. Inauma , kuna wazazi kibao wanaokuja kazini kwangu nikiwauliza unanyinyesha anasema hapana kisa hataki maziwa yake yaanguke sasa najiuliza walizalia nini kama Bado usichana haujaisha. Au analalamika eti maziwa hayatoshi ,na akipewa suggestion ya food nutrition za kutumia ili apate lishe ya mtoto anakuambia vitamfanya anenepe, kazi Kweli Kweli Mungu atusaidie tuu . Thanks.
nliona ana kiu, nkaomba ushauri kwa maza na daktare wakanambia nimpemmmh 2 weeks umeshaanza kuchakachua duuh
nliona ana kiu, nkaomba ushauri kwa maza na daktare wakanambia nimpe
Kweli kabisa ila hiyo ya kupungua inategemea na ulaji wa mama pindi akiwa mzazi. Wengi wanakula kupitiliza ndio maana mtu akitoka uzazi anakuwa tembo si tembo, kiboko si kiboko. Ila ukila kwa kiasi mpaka tumbo linaisha kabla hata hujaenda gym.Kwa kuongezea tuu kunyonyesha kunasaidia pia kupunguza uzito kwa Mama, kupunguza risks za kupata Cancer na magonjwa ya Moyo . Thanks!
Umeona eeh? Mimi watoto wa dada yangu haiwezekani....japo ana bidii sana ya kunyonyesha usipowapa chochote hapakaliki nakuambia miezi 6??!!
Nauliza tu koh koh koh mtoto anakaaje 6mnths bila kunywa maji? baby wangu nmekaa nae wiki 2 akaanza kutoka mate mazito afu mengi, anasweat sana na lips zake znakauka mi nkahisi ana kiu ikabidi nianze kumpa maji kijiko kidogo 1, mate yakaisha na lipsi hazijakauka tena!!!
Upo sahihi nesi wetu.Kwa ufahamu mdogo nilionao ni kwamba mama hata kama ameathirika ananyonyesha miezi sita ya kwanza ila kwake yeye agizo la kutompa kitu kingine chochote linatakiwa lizingatiwe sana.....mama akizingatia hili huku anaendelea na dawa mtoto anakuwa salama kabisa
Kwa vile daktare yupo sawa....btw hongera
Nahisi wingi wa maziwa unatofautiana.Nishawahi sikia ukifanyiwa operesheni ya uzazi inapinguza maziwa.Hata hivyo kwa wafanyakazi ni mtihani mzito.Mimi nilijaribu kukamua na yakawa hayamtoshi muda nakuwa sipo nikaamua kumpa formula.
ila pia cost ya kukumaintain wewe ni kubwa iyo diet yako ili upate maziwa ya kutosha uliyoitaja apo juu inaitaj mume anayejiweza kipesa du!!!
Upo sahihi nesi wetu.
Nauliza tu koh koh koh mtoto anakaaje 6mnths bila kunywa maji? baby wangu nmekaa nae wiki 2 akaanza kutoka mate mazito afu mengi, anasweat sana na lips zake znakauka mi nkahisi ana kiu ikabidi nianze kumpa maji kijiko kidogo 1, mate yakaisha na lipsi hazijakauka tena!!!
Hahahahahaha, umenichekesha, asilimia kubwa maziwa ya mama ni maji.Mi mtoto wangu hakuwai kunywa maji mpaka alivofikisha miezi 6.