neddy nawe unaanza kunyonyesha lini tununue diapers?
uzembe gani kwa mfano, period!!ukiona hayatoshi jua kuna uzembe, period.
uzembe gani kwa mfano, period!!
blogger...hivi kwa mama anayetakiwa kuenda kazini (chukulia anaishi dar na foleni za magari) hivi anaweza kunyonyesha mtoto akatosheka na maziwa yake tu...siyo muumini wa kumkamulia mtoto maziwa ya mama!!sasa mama watoto ametoka gegedwa(chepukwa),, baba watoto lashinda bar.
Kuna kunyonyesha hapo.
Sorry for intrusion.
zawadi...yaaa mtoto mwingine?
Kweli kabisa ila hiyo ya kupungua inategemea na ulaji wa mama pindi akiwa mzazi. Wengi wanakula kupitiliza ndio maana mtu akitoka uzazi anakuwa tembo si tembo, kiboko si kiboko. Ila ukila kwa kiasi mpaka tumbo linaisha kabla hata hujaenda gym.
Inawezekana bwana. Mtama kwa watoto mwenyewe kasema alinyonyesha na yeye ana mapacha kabisa.
Evelyn Salt inawezekana kwasababu maziwa ya mama yanatakiwa yampe mtoto kila kitu. Ndo maana wewe mama unatakiwa pamoja na kula vizuri unywe maji mengi ili mtoto nae apate kiasi cha kutosha. Ila ikibidi kumpa kidogo sio mbaya ili mradi uhakikishe kwamba ni masafi.
unadhani bila kunyonyesha kwa muda huo asingekupa huo mtaji?Mtoto mwingine my foot. ...amenipa mtaji wa busness ya uhakika
unadhani bila kunyonyesha kwa muda huo asingekupa huo mtaji?
Umeona eeh? Mimi watoto wa dada yangu haiwezekani....japo ana bidii sana ya kunyonyesha usipowapa chochote hapakaliki nakuambia miezi 6??!!
Kuna mrembo mmoja mtoto wake alikuwa analia sana hasa saa za usiku hawalali na mumewe wakiwa na wasiwasi kwamba mtoto ni mgonjwa. Wakimpima temperature iko ya kawaida baada ya muda wakaamua kwenda kumuona Doctor. Doctor akamchunguza mtoto kwa kina na hakuona tatizo lolote lile ndipo alipouliza yule mtoto huwa anakula nini mama akajibu ni maziwa ya mama tu. Dr ndipo alipotoa ushauri kwamba labda maziwa ya mama labda hayamtoshi mtoto na hivyo kupendekeza mtoto aanze kupewa vyakula laini vya kusaga kama vile viazi ulaya n.k. Baada ya kuanza msosi wa ziada mtoto akaacha kulia kabisa. Mtoto alikuwa wa miezi mitano.

blogger...hivi kwa mama anayetakiwa kuenda kazini (chukulia anaishi dar na foleni za magari) hivi anaweza kunyonyesha mtoto akatosheka na maziwa yake tu...siyo muumini wa kumkamulia mtoto maziwa ya mama!!
its very true, mama na mtoto wanabond sanawakati wa kunyonyesha, nina rafiki yangu alimwachisha mtoto kunyonya akiwa na miezi mi3 na mumewe akamsapoti akaanza kupewa maziwa ya kopo, mtoto hampendi mama hata kidogo,anampenda housegirl kuliko mama yaani hana muda nae kabisaa
I never stopped to think that my boobies would sag. Bringing a human being into this world is bigger than changes to a body that will happen anyway.
No regrets. Huyo mdada nampa pole.