Hahahaha unataka machungwa, maembe au mananasi FirstLady1 ??!Noted .
Nanyonyesha mwenzenu msisahau kunitumia Pampers na matunda sawa Lizzy
nafata sheria za unyonyeshaji kama inavyotakiwa
Hhahahhaha....Stress nazo husababisha maziwa kukata kbs....hivyo ni muhimu kujiepusha na mastress...........na wababa muwajali na kuwathamini sana wake zenu kipindi hicho........sio malove yote unahamishia kwa michepuko......jaribu kukumbuka na nyumbani pia!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawaida yangu naangalia kitu kwa jicho la tatu...
Muwe mnapima afya zenu mara kwa mara...
Maana ung'ang'anie kunyonyesha huku mumeo mzinzi mtoto apate maambukizi toka kwa mama...
Na ukiona mtu hataki kunyonyesha mtoto wake mumuwache...
Wengine wameathirika...kuuliza uliza na kuwashangaa shangaa kunawafanya wajisikie vibaya...
Haya mambo ni very private...
Kuna rafiki yangu huko Mghana...alijifungua kipindi huko kwao kuna kampeni ya mama kunyonyesha mtoto...
Anasimulia ilikuwa worst experience kwake...
Alikuwa analetewa mtoto amnyonyeshe huku maziwa yana vidonda (alilazwa baada ya kujifungua)...sikilizia maumivu yake na usalama wa afya ya mtoto...
Mwili wangu...mtoto wangu...nani aniamulie...
Stress nazo husababisha maziwa kukata kbs....hivyo ni muhimu kujiepusha na mastress...........na wababa muwajali na kuwathamini sana wake zenu kipindi hicho........sio malove yote unahamishia kwa michepuko......jaribu kukumbuka na nyumbani pia!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hahahaha unataka machungwa, maembe au mananasi FirstLady1 ??!
Hongera mwaya, miezi mingapi?! Kama bado kadogo chini ya kilo 9 nikupe tip, tafuta pampers za ROZI BEBE, ni nzuri kama Pampers original, yani laiiiini and very confortable alafu bei yake ni zaidi ya reasonable. Yani haya ma-Sleepy sijui Sanita na mengineyo hayaoni ndani kwa bei wala ubora. Kwa size kubwa pakti yenye diaper 40 ni 12 000 na size ndogo nadhani zinakuwa mpaka 56. Ila bahati mbaya size kubwa ni shida kupata maana for some reason wamecha kusambaza ila ndogo # 2 na 3 zipo kenye maduka mengi.
nakushukuru sana mamy kwa Tips mtoto wangu sasa yuko 10 kg
Tatizo katoto hakali na mie nafanya kazi masaa zaidi ya 10 nimekonda kwa mawazo Lizzy
miezi 6 maziwa ya mama tu...hayatoshi!!!
nakushukuru sana mamy kwa Tips mtoto wangu sasa yuko 10 kg
Tatizo katoto hakali na mie nafanya kazi masaa zaidi ya 10 nimekonda kwa mawazo Lizzy
bona hapo ndo watu wengi wanapokosea. Wakisikia 'KULA VIZURI' basi picha wanayoipata ni nyama,nyama,nyama,mafuta debe na blueband sado.
Ila sio ukweli. Mimi nilijifungulia Moshi na kule kwetu ukiwa mzazi utalishwa kama vile hamna kesho ila nilikataa. Chai ya rangi na vipande viwili vya mkate vinahitaji sh. ngapi?! Mayai mawili mara tatu kwa wiki ni 1800 hiyo nayo ni ya kusema lazima mwanaume awe na pesa nyingi?! Mchele robo, maharage, mboga za majani, nyama robo/nusu mara mbili au tatu kwa wiki, samaki kidogo, ndizi, spaghetti zinazouzwa pakti nzima 1200 na matunda ambayo kama sasa hivi yamejaa kila kona ni ya kusema lazima uwe tajiri kweli. Dawa ya kuyashinda haya maisha ni kutoku-complicate mambo ambayo yako simple.
Ila nadhani baadhi ya watu huwa wanatumia ile nafasi kula tofauti na ambavyo wanaweza kula katika hali ya kawaida. Na ndio hufanya ionekane kwamba mama akiwa mzazi lazima mzee atoboe mfuko kumlisha.
aaaah waende huko wakajali huko huko kwenye nyuchi za uhakika pyeeeee stress pembeni baby ajenge shavuStress nazo husababisha maziwa kukata kbs....hivyo ni muhimu kujiepusha na mastress...........na wababa muwajali na kuwathamini sana wake zenu kipindi hicho........sio malove yote unahamishia kwa michepuko......jaribu kukumbuka na nyumbani pia!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hadi nyonyo inachemka...Mwanangu kanyonya sanaaa sasa imetosha khaaaa afu watoto wakiume wananyonya hatar
Breastfeeding is special moment for mother and child to bond.
Nilienjoy sana ku breastfeed and I cannot wait to hold another little one in my arms and feed him for two years God willing.
Alafu wanakuaga wanaboa ukiwaambia wanajidai vichwa vigumu eti dokta kasema tuanze kumnywesha uji apate nguvu, uji mtoto wa miezi minne akili ya wapi hiyo 😬😐😐😐😡😡😡😡😡
Ana umri gani mama wa kwanza?!
MankaM kweli aisee..wanakamua mpaka basi weee. Mi nimeamua kumpa wangu offer mpaka afikishe 2.5 alafu tunapigana kibuti cha manyonyo maana kafika mahali ananiambia kabisa "mamii kaa hapo" ili anyonye.
neddy nawe unaanza kunyonyesha lini tununue diapers?mmmh miaka 2.5 si wanasema kuna kipindi kama utaendelea kumnyonyesha mtoto mkubwa hivyo maziwa yanageuka uchafu mwisho 2yrs
miezi 6 maziwa ya mama tu...hayatoshi!!!