Kunyoa sehemu za siri.

Kunyoa sehemu za siri.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
 
Alaaaaaah kumbe wenye vinyweleo ni wadada tuuu!!!!!!mi nilikuwa nafikiri na akina kaka pia!!!!!!!!!!au wakaka huwa mnazibakiza?haya kama ndio hivyo basi na nyie wakaka mtupe majibu kwa nini huwa mnazibakiza.
Endelea kusubiri, wakina dada wanakuja ......
 
Sasa na weye naye huu ni uzi wa kuuleta kwa great thinkers, ule si usafi wa kawaida tu, wengine zinalefuka hata kufikia fiti moja sasa si utapata kazi tutafuta njia ya nanihii!!!!?
 
Alaaaaaah kumbe wenye
vinyweleo ni wadada tuuu!!!!!!mi nilikuwa nafikiri na akina kaka
pia!!!!!!!!!!au wakaka huwa mnazibakiza?haya kama ndio hivyo basi na
nyie wakaka mtupe majibu kwa nini huwa mnazibakiza.

Haswaaa!
Hilo nalo neno.
 
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Kama wewe unazipenda si ufuge li afro lake?? Au weka dread kabisa
 
huo ni udhalilishaji sasa wa wanawake, kwani wewe hunyoi????????
 
Hahahahahaahahaha! Loh Unatangaza jinsi gani ulivyo mchafu!!! kesho utakuja na Topic kwa nini wadada waoge! Ptuuuuuuu!Loh! Kama wewe unazipenda fuga, lakini hakuna raha kama kutokuwa na hayo manyasi kule sehemu maana hata hewa inapita.
 
kumbe hanyoagi ndio sababu mnatoa harufu mbaya kama dubu
 
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​

JF raha tupu. Hapa nilipo mambo yangu yako hovyo hovyo hayanipi hata muda wa kutabasamu, Lakini mambo ya humu yananifanya nionekane happily natabasamu tu muda wote
 
Back
Top Bottom