Kunyoa kwapa?

Kunyoa kwapa?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,088
Reaction score
136,599
Mnaonaje hili swala la kunyoa vikwapa. Wewe unapenda demu anayenyoa makwapa yake? Na vipi wanaume kunyoa makwapa yao, ni ok?
 
Na kwa nini baadhi ya wanawake wananyoa makwapa yao?
 
kwapa la ke likiwa halijanyolewa I can't feel. Nanyoa. Kwani manyoa ya kwapani yana uzuri?
 
kwenye nchi za joto nadhani ni jambo la kawaida kunyoa zenye kutoka jasho sana na rahisi kupata fungus
 
Sielewi swali, una maana ya kwapa kama kwapa au ndio mambo ya tafsida? Kama unamaanisha ulichoandika sioni tatizo kwani ni masual ya usafi
 
mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma....
 
mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma....
walioishi zana za mawe walitumia mawe.
 
Mimi sinyoi...wewe unanyoa?
Huwa nashave ndio my underarms hair. Sasa kama hujawahi kushave si utakuwa na msitu huko jamani! Lol! sasa kama hunyoi hiyo deodorant huko inakuwaje sasa?
 
aisee.....vipi kuhusu mfano wakina dada/mama walipokuwa hedhini? walitumia nini kujisitiri?

piga mahesabu! watakuwa walikuwa wanakaa ndani mpaka atoke 'mwezini', na kuosha kwa maji.
 
hayo manywele nywele ya sehemu sehemu me huwa cyapendi kabisa! kunyoa nii muhimu kwa wanaume na wanawake, khaaaa
 
mie najiulizaga watu wa zamani walikuwa wananyoaje nywele zao hakukuwa na nyembe,makasi na vikatio vyoyvote ambayo vinatumika zama za chuma....

walikuwa wanatumia majivu yenye moto kidogo
 
Back
Top Bottom