Pole sana, huo ni ugojwa wa kisaikolojia unaitwa "sex deviations!", na "sex pervetions!', kama walivyo wanaume wenye ugojwa wa "peeping tom', wao hupenda kuchungukia wenzao, huku huitwa "kupiga chabo!", na Zenjiwanaitwa ma "Kozi men!".
Sex deviations ziko za aina nyingi, nyingine ni "masochisim!", wenyewe huitwa "macho men!", hawa hufanya mapenzi kama wanabaka, na huderive their satisfactions kwa kusikiliza scerams za agony!.
Ugonjwa huu hguanzia kwa wanusaji wa chupi za watoto, hawa huitwa "paedophilia!".
Ukitafuta utafiti wa Dr. Alfred Kinsey au ukimsoma Dr. Eustice Chesser. aliyeandika kitabu cha "LOVE WITHOUT FEAR!!", utapata mengi kuhusu love deviations!.
Pasco.
NB. Pasco wa jf, ni mtu mwenye very high experiance ya mambo haya!, alioa akiwa 25!, na baada ya kuishi na mke kwa miaka 5 na kupata watoto 2, alihamia UK, kisha US ambako mke alibaki huko. Yeye alirudi Tanzania na kufanya kila aina ya practicles for 10 good years!. By now he is a father of six!.