Yaani unanusa kufuli ya mwanamke usiyemjua? Mimi si kufuli ila kikwapa cha nimpendaye! Nikisikia hiyo harufu
ni stimu ya kutosha! Kikwapa cha mpenzi weee!
Popo mweusi a.k.a. Black Bat, huo si ugonjwa bali wewe umewehuka. Yaani unataka kuniambia wewe ukipita mitaani na kuona chupi basi unapatwa na mfadhaiko? Kuna jalala pale Kisutu utapata kila aina ya chupi, za wahindi, waraab, na wengine. Fika pale uondoe radha kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.