teh...tehee... tofari nyingi tunazonunua ukiuliza vizuri mafundi wanakwambia wamepiga 45 kwa mfuko nyingine mpaka 60 wanachofanya ni kuchangaya vizuri udogo na maji mengi kwenye tofali ili likomae hata hivyo nyumba zetu nyingi tunajenga kwa kuishi vizuri miaka 30 hivyo linatosha kwa kuwa baada ya hapo tumechoka na watoto hawapendi plan za nyumba zetu kama wewe usivyopenda plan ya nyumba ya baba yako hata kama nzuri namna gani haiwezi kukupendeza ukilinganisha na nyumba yako ya miti.Mkuu chiwa mfuko 1 cement tofali 35?unataka kumtafutia mwenzio majanga.
100,000 kwa mwezi huwezi kuiona moja kwa moja kwa kuwa si kila mwezi matengenezo yanaweza kuwa makubwa lakin amini huo unaweza kuwa wastani kwa mwezi ikiwemo gharama za mataili break, boljoint ,grese na mengine mengi inategemeana na aina ya gari.Mmhh kaka me nnamiliki gari lakinI sI kwa mahesabu yako..service kila mwezi 100000???.kwahiyo mil9 kwa mwaka maana yake gari inakost kwa mwezi 750000 realy.?? Labda unamiliki gari ipi mwenzetu....me yangu walaaaa
sasa hii ni kitu gani umeandika?Hakuna baba mwenye gari; kuna baba mwenye nyumba.
Bora gari hasa kwa maisha ya dar......daladala zinachosha sana tu
100,000 kwa mwezi huwezi kuiona moja kwa moja kwa kuwa si kila mwezi matengenezo yanaweza kuwa makubwa lakin amini huo unaweza kuwa wastani kwa mwezi ikiwemo gharama za mataili break, boljoint ,grese na mengine mengi inategemeana na aina ya gari.
kuna gari siku hizi ukienda service fundi anakuja na laptop kuicheki tu 50,000 bado matengenezo hivyo inawezezekana weka vizuri hesabu zako utaiona
nimesema kwa sasa sina gari lakin naziona hizo gharama vizuri sana
ni umasikini tu, kwa maisha ya sasa gari sio luxury item ni lazima kuwa nayo, yani mtu toka primary-sec-chuo-job unasota kwa mguu tu khaaa
Habari wadau, Nina rafiki yangu wa siku nyingi alinifuata hivi karibuni kuniomba ushauri, yeye ameoa na wamebahatika kupata watoto wawili, kwa sasa anaishi nyumba ya kupanga. Ameniambia yeye na mkewe wapo katika malumbano ya kuhusu kipi waanze kukifanya kati ya kununua gari ama kununua kiwanja na kuanza ujenzi!! Kipato chao kwa mwez jumla huwa kati ya sh lak 8 hadi mil 1 na lak 2. sijui ndugu zangu mngewashauri waanze na ujenzi au gari?
linachosha acha tu........mie sina pesa tu ila ningekuwa nazo kitu cha kwanza ingekuwa gari hayo ya nyumba
yangefatia baadae saaaaaaaaana
sasa hii ni kitu gani umeandika?
Tufanye mpango wa kuichukua ile corona kabla ya mwezi wa sita. Tutakuwa mafundi taratibu
Jamani kuwa na usafiri sio anasa, ukiwa na Gari itakusaidia sana kwenye supervision ya ujenzi Wako. Ukiiba kapesa kidogo kazini unapitia duka la ujenzi faster unaweka kwenye Gari yako huyooooo moja kwa moja kwenye site yako. ILA sielewi Kwanini watu wana misconceptions Hii ya kuwa na Gari. Huu ni mtazamo binafsi
Ni kitu gani umesoma?