Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,144
- 5,006
teh...tehee... tofari nyingi tunazonunua ukiuliza vizuri mafundi wanakwambia wamepiga 45 kwa mfuko nyingine mpaka 60 wanachofanya ni kuchangaya vizuri udogo na maji mengi kwenye tofali ili likomae hata hivyo nyumba zetu nyingi tunajenga kwa kuishi vizuri miaka 30 hivyo linatosha kwa kuwa baada ya hapo tumechoka na watoto hawapendi plan za nyumba zetu kama wewe usivyopenda plan ya nyumba ya baba yako hata kama nzuri namna gani haiwezi kukupendeza ukilinganisha na nyumba yako ya miti.Mkuu chiwa mfuko 1 cement tofali 35?unataka kumtafutia mwenzio majanga.
hivyo inatosha wangu