Kungwi avunja ndoa ya watu.

Kungwi avunja ndoa ya watu.

Hili ni fundisho kwa wadada wote humu wa JF ,msiruhusu kungwi alale na wapenzi wenu mtaachika kabla ya muda wenu maana makungwi wengi wanasifika kuwa na K mnato.

Kwani hao waliotangulia walitoa ruksa? Huyo kungwi anatakia kutoa shule ya kufanya 'tunda' liwe na mnato, ingawaje hapo kutakuwa na uwezekano wa 'mchina'.
 
Ujinga haswa .... Na huyo kungwi awabebe tu ... Ufundishaji gani huo wa kulala na wame wa watu!?
 
Ndo sheria hiyo na unamlipa.
UKIMWI hauwezi kutuacha salama kwa hali hii sasa huyu Kungwi anakua si mke wa mtu? Alaf inakuaje mwanaume ukubali kufanya nae mapenzi mtu ambae humjui afya yake.
Hii sheria ndio naisikia leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom