Kungwi avunja ndoa ya watu.

Kungwi avunja ndoa ya watu.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,652
Kuna dada mmoja huyo ni kungwi ,na akitaka kufunda lazima alale na mume wa bibi harusi ili amfundishe bibi harusi namna ya kutiana na kumridhisha mumewe wakiwa wanatiana.

Sasa huyu kungwi K yake mnato sana kiasi kwamba asilimia kubwa ya mabwana harusi humrudia baadaye.

Hilo lilikuja kugundulika baada bibi harusi mmoja kuona nyendo za mumewe waliyeishi naye miezi sita akibadilika na kumfokea hovyo,alipochunguza akagundua yule kungwi ndo anavunja ndoa yake.

Hili ni fundisho kwa wadada wote humu wa JF ,msiruhusu kungwi alale na wapenzi wenu mtaachika kabla ya muda wenu maana makungwi wengi wanasifika kuwa na K mnato.
 
rubii njoo umiemee huyu jamaa yako katoka mirembe na spidi za vistory vya kusadikika
 
Kwahiyo mkuu Kungwi anaruhusiwa kulalla na mume wa mwanafunzi wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom