Kunguru katua juu ya kichwa changu, nashauriwa niende Bagamoyo, ni sahihi?

Mungu yupo kwa ajiri yako
Yesu yupo kwa ajiri yako
Roho Mtakatifu yupo kwa ajiri yako
Malaika wema wapo kwa ajiri yako
Neno la Mungu (Biblia) lipo kwa ajiri yao
Wapakwa mafuta wa Bwana wapo kwa ajiri yako
Watumishi wapo kwa ajiri yako
Makanisa yapo kwa ajiri yako
Nenda upokee uponyaji na ulinzi wa uhakika
Otherwise you will be in trouble soon
 
Mzizi wa Mbuyu.

Wachawi wakifanya uchawi wao, huwa wanavaa maumbo yenye sura tofauti, ili wasijulikane. Kwa mfano huwa wanavaa maumbo ya paka, panya, nyoka, ndege n.k.

Kabla ya tendo la kichawi halijafanyika, wachawi hutayarisha hati ya mashitaka na kupeleka kwenye madhabahu za kichawi, au sehemu wanapokutanikia usiku, shitaka hili mara nyingi linapelekwa na mtu aliye karibu sana na wewe kama ndugu, majirani, mfanyakazi mwenzako, mfanyabiashara mwenzako n.k. Shitaka lenyewe mara nyingi ni sababu ya wivu tu, labda kwa ajili ya mafanikio yako, au chakula unachokula, au mafanikio ya watoto wako.

Kikao cha wachawi kikikubaliana na hoja ya mleta hoja, wanaunda kikosi cha maangamizi kukumaliza. Kabla ya kukujia ni lazima wakufunge kichawi, ni sawasawa na askari anapotumwa kumkamata mhalifu ni lazima achukue kwanza pingu ya kumfunga, akishamfunga mhalifu kwa pingu, askari anaweza kufanya lolote atakalo kwa mhalifu kwani hana tena uwezo wa kujitetea.

Kama huyo tai alivyotua kichwani kwako, hiyo ndiyo pingu ya kichawi, baada ya kukufunga watafanya lolote watakalo, bila ya wewe kufanya lolote, mara nyingi sana, huwa wanaondoa ufahamu wako, usijuwe mahali pa kupata msaada, au ukipajuwa unakataa kuupokea.

Kama vile mhalifu anapofungwa pingu na askari, anayeweza kumfungua ni yuleyule askari aliyemfunga kwa funguo alizo nazo, mhalifu hata afanye vipi siyo rahisi kujifungua.

Matatizo yaliyokupa, kama wamekufunga siyo rahisi wewe mwenyewe kujifungua. Ni lazima akufungue yuleyule aliyekufunga au Mchungaji wa Kanisa aliyeokoka.

YESU ni JIBU, jina hili likitajwa mwenyewe hushuka kwa moto na kuteketeza kabisa mamlaka zozote za kishetani zilizofanywa juu yako, juu ya kazi yako, juu ya ndoa yako, juu ya watoto wako.

Chukua hatua sasa, hakuna gharama yoyote utakayolipa kufungua mafundo ya kichawi waliyoyafunga, ili kuharibu maisha yako.

umesema vizuri sana, hivi ndivyo ilivyo. hata kama mleta mada hataenda kokote, ushauri tuliotoa humu ndani utawasaidia wengine pindi wakikumbana na tatizo. Yesu ni jibu. mtoa mada amelichukulia poa tu, hii ni kutokana na mazingira aliyoyaona yeye mwenyewe, sisi sote hatujakuwepo hapo. pengine tunaongea tu na hakuna uchawi uliopo, ila kama hii kitu ilikuja kwa huyu jamaa kimazingara, hakika anahitaji kuchukua hatua haraka, mtu anayeelekea kutumbukia shimoni, huwa hatakiwi kusema ngoja tu nitumbukie halafu nitatoka, au hawezi kusema ngoja tu nitumbukie halafu nitapiga kelele wapitanjia watanisaidia, huwa anatakiwa kupambana ili asitumbukie kabisa, pamoja na kwamba yuko mlangoni mwa shimu. ushauri tumempa jamaa, nafikiri atajifunza kutokana na hili na kama atazingatia ushauri uliotolewa humu, atawafundisha na wengine namna ya kufanya wakikumbwa na adha kama hizo. Mungu yupo, na shetani yupo. Mungu ana nguvu kuliko shetani, Shetan amekwisha kuhukumiwa na hana nguvu kabisa kwa Jina la Yesu. karibu kwa Yesu, utapona.
 
leo asubuhi nikiwa nasalimiana na mtu nje ya ofisi yangu, akaja kunguru na kutua juu ya kichwa changu.
Kwa muda nikahisi ni mtu amenishika kichwani kwa mkono lakini ilinishtua kidogo maana yule mtu niliekuwa namsalimia alifunua mdomo wake kwa mshangao, nilipoweka mkono wangu kwa nia ya kumgusa kunguru yule akaruka.
Tukio hilo limeonwa na watu kadhaa waliokuwa jirani...
Sasa kimbembe, mie nililipuuza jambo lile na kuona labda yule kunguru kachanganyikiwa kwa kula sumu mbalimbali majalalani hivyo akapata ujasiri wa kutua kichwani. lakini watu walioona au kusikia jambo hilo wananijia na ushauri wa kwamba eti siyo bure, lazima lile ni jini/uchawi natakiwa kwenda haraka kwa waganga wa kienyeji ili waniokoe......... Wamekomalia na kutoa mifano lukuki hadi nimeanza kuogopa tofauti na mwanzo....
jamani nifanyeje?
wala usihangaike, nafikiri unabahati sana.
 
Nashukuru mkuu na huu ndiyo msimamo wangu hadi sasa, bado sijaamua vingine nataka kujua jamii inalionaje na inanishauri vipi ktk hili. Ila kwa sasa niko fresh tu sina tatizo lolote linaloweza kuhusisha na nguvu za giza.
Ila ala ala, jamii isikubadilishe mawazo na msimamo wako, nasisistiza tena hakuna ubaya wala uchawi wowote utakao kupata, huyo ni ndege kama ndege wengine tu.
 
My friend usiwe na wasiwasi. Wasi wasi ni kwa wale wasioamini. At your own private time, kneel down and while on your knees call your God and will listen to you. Tell God of your worries and God will remove them immediately. I am sure hakuna uchawi hapo basi yule ndege katua tu, kwanza hujasema ulivaa je, nywele zako zikoje kichwani, n.k. mbona wengi wananyewa na hao kunguru wakitembea njiani na hakuna kilichowatokea?
Jipe Moyo Mkuu na Uamini kuwa Mungu wako yupo popote pale utakapomwita atkuitikia. Mungu hayupo kwa Efatha, Wala Glory, wala Agape, wala kwenye jengo lolote lile. Hayo yote watu wanahangaika kwa kukosa maarifa! Haina tofauti na atakayekuambia nenda makaburini ukaombe maana Mungu atakusikia huko, yote hayo ni kujilisha upepo.
Uwe na Imani, na ukishaamini utaokolewa popote pale. Anayeokowa ni Mungu peke yake na wala si mtu yeyote yule. Just have you Faith and be strong in It. God Bless You na Hofu yote ikuondoke sasa! In The Name of Jesus Christ, The Lord and Savior.
 
ila kwa kifupi, hicho kilichotua juu ya kichwa chako, mzee ni kitu ambacho si cha kuchukulia juu juu, kama kweli unachosema kimekutokea ni kweli. chukua step kabla mambo hayajaharibika, pengine wameshakuwekea tarehe kabisa, kimbilia kwa mungu.
Unatofauti gani na mganga hapo kwenye red?
Hata mganga na wenye imani ndogo na iliyopotoka wanasema hivi, sasa tukuweke wapi?
 
My friend usiwe na wasiwasi. Wasi wasi ni kwa wale wasioamini. At your own private time, kneel down and while on your knees call your God and will listen to you. Tell God of your worries and God will remove them immediately. I am sure hakuna uchawi hapo basi yule ndege katua tu, kwanza hujasema ulivaa je, nywele zako zikoje kichwani, n.k. mbona wengi wananyewa na hao kunguru wakitembea njiani na hakuna kilichowatokea?
Jipe Moyo Mkuu na Uamini kuwa Mungu wako yupo popote pale utakapomwita atkuitikia. Mungu hayupo kwa Efatha, Wala Glory, wala Agape, wala kwenye jengo lolote lile. Hayo yote watu wanahangaika kwa kukosa maarifa! Haina tofauti na atakayekuambia nenda makaburini ukaombe maana Mungu atakusikia huko, yote hayo ni kujilisha upepo.
Uwe na Imani, na ukishaamini utaokolewa popote pale. Anayeokowa ni Mungu peke yake na wala si mtu yeyote yule. Just have you Faith and be strong in It. God Bless You na Hofu yote ikuondoke sasa! In The Name of Jesus Christ, The Lord and Savior.
Watu wa Mungu, kama mngekuwa na imani angalao kidogo, mngeweza kuhamisha milima.

Mkuu, salute, umemweleza vema, na apate kusikia.naam, na wengine wasikie pia
 
My friend usiwe na wasiwasi. Wasi wasi ni kwa wale wasioamini. At your own private time, kneel down and while on your knees call your God and will listen to you. Tell God of your worries and God will remove them immediately. I am sure hakuna uchawi hapo basi yule ndege katua tu, kwanza hujasema ulivaa je, nywele zako zikoje kichwani, n.k. mbona wengi wananyewa na hao kunguru wakitembea njiani na hakuna kilichowatokea?
Jipe Moyo Mkuu na Uamini kuwa Mungu wako yupo popote pale utakapomwita atkuitikia. Mungu hayupo kwa Efatha, Wala Glory, wala Agape, wala kwenye jengo lolote lile. Hayo yote watu wanahangaika kwa kukosa maarifa! Haina tofauti na atakayekuambia nenda makaburini ukaombe maana Mungu atakusikia huko, yote hayo ni kujilisha upepo.
Uwe na Imani, na ukishaamini utaokolewa popote pale. Anayeokowa ni Mungu peke yake na wala si mtu yeyote yule. Just have you Faith and be strong in It. God Bless You na Hofu yote ikuondoke sasa! In The Name of Jesus Christ, The Lord and Savior.

kutokana na uzoefu gani unaongea haya? kwasababu watu unajua wanaongea kitu wasichokijua. kama wengine walivyosema, kama kweli hiyo kitu imetokea, na ina mazingira ambayo si ya kawaida kwa reasonable person, unatakiwa uende kwa watumishi wa Mungu wakuombee. wewe unayesema hautakiwi kuombewa na mtu hauelewi, si kila mtu anaweza kuomba maombi yakajibiwa, unatakiwa uwe na connection na Mungu katika moyo wako, yaani uokoke. kama ungekuwa umeokoka hata huyo kunguru angekukimbia asingekugusa. mtu ambaye hajaokoka ataomba miaka mia, hatapata, hadi atubu dhambi,, aokoke. wengi walimfuata Yesu wakapona, pamoja na kwamba walikuwa na uwezo wa kuomba kivyao, wengi waliwafuata mitume na kina paulo wakaombewa wakapona, pamoja na kwamba walikuwa wanaweza kuomba kivyao. kiwete alikaa mlangoni pa hekalu akiomba miaka na miaka, hadi kina petro na yohana walipopita wakaweka mkono juu yake akatembea. hata leo hivi, kuna watumishi wa Mungu walio na karama tofautitofauti, ambao Mungu anawatumia kufungua matatizo ya watu, Mungu anawatumia kutenda kazi zake hapa duniani. MUNGU HUFANYA KAZI KUPITIA WATU, NA HAWA NDIO WACHUNGAJI NA WATU WENGINE WALIOOKOKA, wanaoongozwa na Roho wake kila siku. HII NAONGEA KWA WATU WENGINE, KWA HUYU JAMAA, SIONGEI KITU KWASABABU NIMEONGEA VYA KUTOSHA KUHUSU YEYE. kama uamuzi atakuwa ameshachukua. NAONGEA NA WATUU WOTE WENYE MATATIZO YOYOTE HAPA NDANI, MSIDANGANYIKA NA USHAURI WA KWAMBA UNAWEZA KUPIGA MAGOTI CHUMBANI KWAKO UKASALI, LAZIMA UENDE SEHEMU AMBAYO UTAKUTA WATUMISHI AMBAO MUNGU ANAWATUMIA, HAPO NDO UTASHIRIKIANA NAO KUJIFUNZA MAMBO YA MUNGU, NA PIA MUNGU ANAWEZA AKAWATUMIA KUKUOMBEA. bila Maombi ya Musa, Harun alikuwa afe, bila maombi ya Musa ukoma wa miriam dadake musa usingepona, bila maombi ya musa, mungu angewaangamiza wana wa israel. lazima uende kwa mtu ambaye Mungu amempa karama ya kufungua watu. katika biblia imeandikwa "pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo, mmepata bure toeni bure", kumbe kuna watu ambao Mungu amewapa uwezo wa kufufua, kutoa pepo, kutakasa wenye ukoma, kufungua watu nk. only some people, si kila mtu, Mungu humpa kila mtu karama kama vile yeye apendavyo, kwaajili ya kazi yake ya ukombozi wa mwanadamu hapa duniani. i hope you understand this.
 
Mungu yupo kwa ajiri yako
Yesu yupo kwa ajiri yako
Roho Mtakatifu yupo kwa ajiri yako
Malaika wema wapo kwa ajiri yako
Neno la Mungu (Biblia) lipo kwa ajiri yao
Wapakwa mafuta wa Bwana wapo kwa ajiri yako
Watumishi wapo kwa ajiri yako
Makanisa yapo kwa ajiri yako
Nenda upokee uponyaji na ulinzi wa uhakika
Otherwise you will be in trouble soon
Unamtisha wewe ndo uliyemtuma huyo kunguru nini?
Nyie ndo amabo mkijikwaa tu mnaanza kuangalia nani kaniloga
the mnakimbilia kwa mtume x, mchungaji y, askofu z.

LOW men. acheni hayo mambo kabisa.
mnajifanya mnachukua nafasi ya Mungu sasa!
 
imani yako inaweza kuwa MLINZI , au adui wako namba moja! kama unamwamini mungu piga goti usujudie umuulize "kunguru kutua juu ya kichwa changu inamaana gani?!!" ATAKUJIBU
 
kutokana na uzoefu gani unaongea haya? kwasababu watu unajua wanaongea kitu wasichokijua. kama wengine walivyosema, kama kweli hiyo kitu imetokea, na ina mazingira ambayo si ya kawaida kwa reasonable person, unatakiwa uende kwa watumishi wa Mungu wakuombee. wewe unayesema hautakiwi kuombewa na mtu hauelewi, si kila mtu anaweza kuomba maombi yakajibiwa, unatakiwa uwe na connection na Mungu katika moyo wako, yaani uokoke. kama ungekuwa umeokoka hata huyo kunguru angekukimbia asingekugusa. mtu ambaye hajaokoka ataomba miaka mia, hatapata, hadi atubu dhambi,, aokoke. wengi walimfuata Yesu wakapona, pamoja na kwamba walikuwa na uwezo wa kuomba kivyao, wengi waliwafuata mitume na kina paulo wakaombewa wakapona, pamoja na kwamba walikuwa wanaweza kuomba kivyao. kiwete alikaa mlangoni pa hekalu akiomba miaka na miaka, hadi kina petro na yohana walipopita wakaweka mkono juu yake akatembea. hata leo hivi, kuna watumishi wa Mungu walio na karama tofautitofauti, ambao Mungu anawatumia kufungua matatizo ya watu, Mungu anawatumia kutenda kazi zake hapa duniani. MUNGU HUFANYA KAZI KUPITIA WATU, NA HAWA NDIO WACHUNGAJI NA WATU WENGINE WALIOOKOKA, wanaoongozwa na Roho wake kila siku. HII NAONGEA KWA WATU WENGINE, KWA HUYU JAMAA, SIONGEI KITU KWASABABU NIMEONGEA VYA KUTOSHA KUHUSU YEYE. kama uamuzi atakuwa ameshachukua. NAONGEA NA WATUU WOTE WENYE MATATIZO YOYOTE HAPA NDANI, MSIDANGANYIKA NA USHAURI WA KWAMBA UNAWEZA KUPIGA MAGOTI CHUMBANI KWAKO UKASALI, LAZIMA UENDE SEHEMU AMBAYO UTAKUTA WATUMISHI AMBAO MUNGU ANAWATUMIA, HAPO NDO UTASHIRIKIANA NAO KUJIFUNZA MAMBO YA MUNGU, NA PIA MUNGU ANAWEZA AKAWATUMIA KUKUOMBEA. bila Maombi ya Musa, Harun alikuwa afe, bila maombi ya Musa ukoma wa miriam dadake musa usingepona, bila maombi ya musa, mungu angewaangamiza wana wa israel. lazima uende kwa mtu ambaye Mungu amempa karama ya kufungua watu. katika biblia imeandikwa "pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo, mmepata bure toeni bure", kumbe kuna watu ambao Mungu amewapa uwezo wa kufufua, kutoa pepo, kutakasa wenye ukoma, kufungua watu nk. only some people, si kila mtu, Mungu humpa kila mtu karama kama vile yeye apendavyo, kwaajili ya kazi yake ya ukombozi wa mwanadamu hapa duniani. i hope you understand this.

Yesu atakusaidia kama utamkimbilia.
 
mimi nilishawahi kufukuzwa na kunguru kama wanane na mmoja aliniparaza kichwani wakati nakimbia beach asubuhi ila hakukuwa na chochote kilichonitokea mpaka leo.hiyo ilikuwa ni 1996.inawezekana kunguru alipata mawenge tu
 
Huyu kunguru alikuwa anatafuta pa kutua akaona kwako panafaa kwa pumziko la muda hakuna ushirikina hapo na wala usitie imani hiyo
nakumbuka mie kipindi kimepita nilikuwa na ofisi ya peke yangu .Siku hiyo naingia ofisini asubuhi nakutana Bundi .. imagine ofisi imefungwa na mie mwenyewe jioni wakati naenda home kapita wapi??
Guess what ..hata sijui nilipata ujasiri wapi nikamkemea kwa imani na wala sikuogopa chochote nikaita watu wakanisaidia kumtoa mpaka leo sijapata madhara yoyote ..
 
mwambie aku-PM umpeleke kijijini kwenu

Mungu anakataa uchawi, wewe unayemshauri mwenzio aende kwa mganga wa kienyeji, utakula matunda sawa ya hukumu ile ambayo yeye naye ataenda. remember that, the one who incites someone to sin, has already sinned himself. beware of what you are talking, inaweza ikasababisha some negative impact kwako, pamoja na kwamba hii iko tu kwenye JF ambako wakati mwingine watu hufanya utani, ni kitu cha kawaida. don't play with God.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom