Jamaa mzushi tu,! Uchafu wake anataka laumu chuo kizima!Unaijua UDOM ilivyo? Hao kunguni jamaa kakuza tu tatizo, hawapo vyumba vyote + kunguni hawatoki chumba kimoja kwenda kingine, walikuwa room kwetu walitutesa ila hawakwenda room yeyote ya jirani,
Kijana aache uvivu, afanye usafi, hata kama wapo kwenye kuta, kuta za UDOM ni rahisi kisafishika,
Btw hata uongozi huwa hawapigi dawa jengo zima, wanapiga tu vyumba vyenye kunguni sugu ambavyo vinaweza kuwa viwili jengo nzima
Jamaa mzushi tu,! Uchafu wake anataka laumu chuo kizima!Mambo mengine ni kuchoshana tu. Hao kunguni mmewaleta wenyewe kutoka majumbani kwenu, halafu mnakuja kuusumbua uongozi wa chuo kuwatokomeza!!
Yaani watu wanapambania elimu yenu, wanapambania usalama wenu hapo chuo! Bado mbawabebesha tena mzigo wa kupambana dhidi ya kunguni, mliokuja nao kutoka majumbani kwenu!!
Kama vipi jichangisheni ili mpate dawa ya kuwaua. Inauzwa shilingi elfu 6 tu.
Nami nashangaa aisee ,hao uchafu wao inaonekana hata mende anavaa viatu akiwa chooniUDOM imeanza lini kuwa na kunguni,?
DUHKunguni ni mambo ya kawaida mama samia mwenyewe ana chawa.
Atakuwa alikamatwa, madg wanshinda wanatomb@n@ kwenye enclosure hawasomi😀Vipi dogo UDOM mmeshafungua chuo au ulikamatwa?
Ajabu ni kuwa hakuna hatua zinazochukuliwa kwa sasa wadudu hao wamekuwa wengi sana yaani nahisi hata Ufaransa tunaposikia wamefunga vyuo hawajafikia huku, ni kero sana.
Watoto wa siku hizi waweka kucha bandia wachafu sanaUDOM imeanza lini kuwa na kunguni,?
SahihiYaani mwanafunzi wa chuo kikuu unalia na kulalama usaidiwe kuangamiza kunguni na mazalia yake...
Nchi hii itakuja kuendelea endapo kila mtu atatumia walau 5% ya ubongo wake...