NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Kwa mjadala unaoendelea sasa nimejifunza kitu kikubwa kuwa motivational speakers wengi hasa waliosoma psychology sio lolote ni waganga njaa tu.
Utamfundishaje mtu mbinu za mafanikio na kujiajiri kwa biashara wakati wewe mwenyewe ni fukara wakutupa unaishi kwa kutegemea viingilio vya unaowahubiria?
Angetokea motivational speaker wa kilimo na ufugaji ambaye anahubiri anachokifanyia kazi awe ana taaluma hata ngazi ya cheti sio lazima PhD au hata asiwe amekaa darasani ila anayofanya nayaona singesita kujiunga naye wanasayansi wanakwenda na facts sio bla bla.