Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ushirikina sio suala geni katika jamii za Kiafrika. Hapa nchini kumeripotiwa matukio mbalimbali ya uganga na
uchawi, vikiwemo visa vya vifaa kukwamia migongoni mwa wezi, wengine wakiishia kula nyasi baada ya kufumaniwa
wakishirki wizi. Waganga hutumia vifaa mbalimbali majukumu yaom, kama alivyothibitisha ripota wetu Daniel Mule
aliyezuru mojawapo y`a maeneo yanayosababishwa na ushirikina nchini. Tupate mengi zaidi katika awamu ya
kwanza katika makala haya ya Kunga Za Waganga.
Last edited by a moderator: