Kunga za Waganga 1 Kenya

Kunga za Waganga 1 Kenya

Kumbe ndiyo maana Pinda anaogopewaaaaaa, ni mambo ya Katavi, eheeee? Duh, haya wapenzi wa Simba na Yanga msiopenda maendeleo ya mpira, watumieni ujumbe timu zenu za kishirikina pale Jangwani na Msimbazi pengine mtachukua ubingwa wa dunia mwakani.
Kama uchawi ni tiba katika mpira basi Katavi Rangers ingekuwa bingwa wa dunia.....hahahahaaah!!
 
Kama uchawi ni tiba katika mpira basi Katavi Rangers ingekuwa bingwa wa dunia.....hahahahaaah!!


Usikurupuke kujibu mshikaji. Unajuaje kama wao wamekatazwa na viongozi wao wasiroge? Mpira wa uchawi siku zote hauna maendeleo na ndiyo maana timu nyingi za mikoani zinacheza vizuri shinda Simba na Yanga ila wanazidiwa hapo kwenye marogo, ligi yetu ni ya kijinga sana kila kitu ni Simba na Yanga wkati wao ndio wanaoharibu mpira wetu. Yanga ama Simba ikifungwa na Katavi Rangers basi atatafutwa mchawi kwa nini walifungwa. Si ujinga huu? Mpira ni kipaji si uchawi hii lazima tukubali. Wachezaji wa Simba na Yanga wanaroga mpaka kocha? Wakienda nje kwa majaribio ya kucheza mpira wa kulipwa hata daraja la nne wanashindwa kupata namba, yaani hata ile reserve ya benchi mtu hapati.
 
MziziMkavu, si utuoneshe na wewe vitendea kazi vyako?
Mkuu Gwangambo Vitenda kazi vyangu mimi hivi hapa chini angalia picha zake.

images

Spice.
images

spice12.jpg

spices_1.jpg


server.gif


bible6.jpg
 
Back
Top Bottom