Kung Fu Kitandani

Kung Fu Kitandani

Hayaja nikuta ila wanawake hua tunaongea mengi unaweza kukutana shogako mloshibana akakwambia mwenzangu pale naenda hiyo basi tuu lakini michezo sifuri,unabaki unamuangalia tuu yule bwana..
Nna mpango wa kuanzisha Kampuni inayojishusisha na kuwaridhisha wanawake, waambie suluhisho lao lipo karibu
 
Afadhali ya mwanamke hata anakusaidia,baadhi ya wanaume wengi hata hawaulize kama umetosheka au Laa yeye anakuparamia kama mnazi akimaliza kashuka analala anakoroma utadhani amepewa kazi yakulima shamba,wewe mtoto wa kike una hesabu boriti na nyufa kwenye nyumba isokua yako...
mmh mwanaume WA hivi ,na nsivyojua Ku fake ataisoma kaniki..

sijui kufake na wala sintakaa niweze..usipo nridhisha sitakuambia ILA utajua Tu ..

naanzaje kufake furaha wakati sina itabidi Tu ajiongeze
 
Wewe njoo kwangu, nakuhaidi baada ya mechi hutoangalia kenchi
 
mmh mwanaume WA hivi ,na nsivyojua Ku fake ataisoma kaniki..

sijui kufake na wala sintakaa niweze..usipo nridhisha sitakuambia ILA utajua Tu ..

naanzaje kufake furaha wakati sina itabidi Tu ajiongeze
Umkute mwenye haya japo kiduchu kama imebakia,wengine wanajitoa Fahamu na chips zao wanazokula KFC,kelele nyingi
kama anakata roho.....
 
Yaani ukimpata mwanamke piga hasa hakuna kuremba na pia akikisha unamfikisha kunako kilele. Mwanamke ukimfikisha anaweza kukuomba msamaha kwa kosa ambalo hata hajafanya.
Utasikia "Baby samahani kwa VITA inayoendelea huko Sudan Kusini"
 
WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma
Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia
mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA
umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba
huko, unambinua kama mcheza kungfu...mara
umuinamishe kama mbwa... SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu
wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo
maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata
mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa
mapenzi, UJINGA mkubwa.... haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee.
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini
kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..
NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo
kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache,
yaani ukiguswa kidogo tu'aaaaaah oooosh!!"shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka,
unaguswa kucha unapiga makelele.....

Ah ah wewe ndo zako hizo kwani nakuona ukitupa maujanja akseh....
  • Kwanza unaonekana kujua sana aya mambo ya mapenzi kitandani,
  • pia nakuona kama unatuchagiza tusojua kufanya kwa style izi katika aya mambo ili kujua ili na lile ktk 6 kwa 6.
  • ila ni muhimu sana tukayajua aya mambo na kuyatenda kwa wenzetu kwani kiukweli husikia wadada na wamama wengi wakilalamika kuwa hawaridhishwi wengi ulalama ati wana mda hawajawai fikisishwa kibo (kileleni), pia angalizo kwani yule umtakaye aka mkeo/ mmeo/ demu/ mchepuko wako etc... atakapo kutana na kijana mahiri/ fundi katika aya mambo real utaisoma namba.
  • Mwisho niPM ili niwape pia ujanja wa kupiga ktr (KATERERO) kt 6 kwa 6.
Ni utani tu jamani katika kuondoa stress wakati ukiisoma namba... ti ti ti...
 
Tupo pamoja sana Mkuu, Non Stop
 
WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma
Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia
mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA
umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba
huko, unambinua kama mcheza kungfu...mara
umuinamishe kama mbwa... SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu
wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo
maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata
mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa
mapenzi, UJINGA mkubwa.... haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee.
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini
kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..
NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo
kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache,
yaani ukiguswa kidogo tu'aaaaaah oooosh!!"shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka,
unaguswa kucha unapiga makelele.....
Si ndiyo hapo sasa , unamkunja mpaka anataka toa aja kubwa, mweeehhh
 
ah ah umenichekesha, kumbe nawe kuna mda huwa unakuwa mjinga??? duh you have made my day
Huoni sasa ujinga wangu umekufurahisha
Unapofurahi siku za kuishi huongezeka pia kicheko ni dawa bora ya stress na shinikizo la damu
 
Yaani ukimpata mwanamke piga hasa hakuna kuremba na pia akikisha unamfikisha kunako kilele. Mwanamke ukimfikisha anaweza kukuomba msamaha kwa kosa ambalo hata hajafanya.
Utasikia "Baby samahani kwa VITA inayoendelea huko Sudan Kusini"
Hahahaa hiyo kiboko aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom