Mzembe ,muelekezeHayaja nikuta ila wanawake hua tunaongea mengi unaweza kukutana shogako mloshibana akakwambia mwenzangu pale naenda hiyo basi tuu lakini michezo sifuri,unabaki unamuangalia tuu yule bwana..
Unamkimbia?mmh mwanaume WA hivi ,na nsivyojua Ku fake ataisoma kaniki..
sijui kufake na wala sintakaa niweze..usipo nridhisha sitakuambia ILA utajua Tu ..
naanzaje kufake furaha wakati sina itabidi Tu ajiongeze
Maneno matamu sanaNna wangu Mashallah mwenyezi mungu amzidishie anajituma mtoto wa mwanamke mwenzangu...
Mbona umefurahi hivyo?hahaaaha
simkimbii ntakimbia wangapi wakati wote Ni majanga..ila kufake Ni nooUnamkimbia?
Tatizo wagumu kusema,kuweni wawazi sisi ni binadamu kama nyinyi,ukikaa kimya mwenzako anajua unapata rahasimkimbii ntakimbia wangapi wakati wote Ni majanga..ila kufake Ni noo
Ah, labda wanahisi wakisema ukweli tutawanyima helaTatizo wagumu kusema,kuweni wawazi sisi ni binadamu kama nyinyi,ukikaa kimya mwenzako anajua unapata raha
Unaulizwa tamu ?hujibu unaumia kimya aaaah jikazeni mpenzi wako unamuonea haya kwa lipi kama umekubali kukaliana uchi kila mmoja kuona utupu wa mwenzake?
hahahaha... natamani kuiona hiyo smsUmesahau mkuu ukimtumia sms anapiga kelele
Hakuna raha tena, kuna style nimeshawahi kujaribu lakini wapi nimeshindwa linabaki swali hawa wanao itumia hawaumiiHahahaha.... Hayo ni mauaji sasa