ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Polepole ambayo ameshika nafasi nyeti kwenye chama na Serikali amethibitisha Kuna kundi Kwa jina la wana mtandao, ambalo hilo lipo juu ya serikali yaani Kwa kifupi serikali inatii kundi la wanamtandao
Pole ametaja machache
1. Kundi la wanamtandao liliweza kumtoa uhai Rais awamu ya 5
2. Kundi la wanamtandao lilimuuzia Rostam gas na migodi kadhaa Kwa bei ya nyanya
3. kundi la wanamtandao linambikizia kesi Kisiasa
4. Kundi la wana mtandao limeuza bandari, ngorongoro huko Masai hawana makazi
5. Kundi la Wana mtandao wameweka CCM mfukoni, wamepitisha mgombea kimagendo na hakuna wa kubweka
6. Kundi la wana mtandao limetengeza vyama bandia vya upinzanzani ambavyo vipo kama back up ya ushindi wa viongozi ambao watalinda maslahi Yao
7. Kundi la wanamtandao halimwogopi wala kuheshimu yoyote limefungia makanisa, kuvamia padre Kitima, kubambikia kesi n.k
Tumeona lakini magari ya kifahari, apartments, miradi na anasa za watoto wa wana mtandao, wanavyochezea pesa ikiwa Watanganyika hawana ajira, shule hazina madawati, hospital hazina madawa na vitanda, bei ya mazao ikishuka, utitiri wa Kodi n.k
Wanamtandao basi tulegezee kamba, twafaa