Kundi la 'Wana Mtandao' tunalikomeshaje?

Polepole ambayo ameshika nafasi nyeti kwenye chama na Serikali amethibitisha Kuna kundi Kwa jina la wana mtandao, ambalo hilo lipo juu ya serikali yaani Kwa kifupi serikali inatii kundi la wanamtandao

Pole ametaja machache

1. Kundi la wanamtandao liliweza kumtoa uhai Rais awamu ya 5

2. Kundi la wanamtandao lilimuuzia Rostam gas na migodi kadhaa Kwa bei ya nyanya

3. kundi la wanamtandao linambikizia kesi Kisiasa

4. Kundi la wana mtandao limeuza bandari, ngorongoro huko Masai hawana makazi

5. Kundi la Wana mtandao wameweka CCM mfukoni, wamepitisha mgombea kimagendo na hakuna wa kubweka

6. Kundi la wana mtandao limetengeza vyama bandia vya upinzanzani ambavyo vipo kama back up ya ushindi wa viongozi ambao watalinda maslahi Yao

7. Kundi la wanamtandao halimwogopi wala kuheshimu yoyote limefungia makanisa, kuvamia padre Kitima, kubambikia kesi n.k

Tumeona lakini magari ya kifahari, apartments, miradi na anasa za watoto wa wana mtandao, wanavyochezea pesa ikiwa Watanganyika hawana ajira, shule hazina madawati, hospital hazina madawa na vitanda, bei ya mazao ikishuka, utitiri wa Kodi n.k

Wanamtandao basi tulegezee kamba, twafaa

Njia pekee ni kuweka tofauti zetu pembeni na kupigana pamoja na agenda ya leo. Sote dhidi yao.
 
We ngedere acha kukariri upuuzi usiouelewa. Polepole hajawahi kufanya kazi serikalini huyo lofa alikuwa mpiga debe tu wa CCM, hakuna analolijua serikalini na hana access na information yyte. Yote anayoyarusha ni uwongo anaojitungia chumbani kwake huko mafichoni. Watanzania wengine km ww mlivyo wapumbavu mmejaa kwenye mtego wake, ht yeye sahv anawacheka na kuwadharau nyie mazuzu. Nilichoona sahv ht mwehu anaweza kuwapumbaza malofa km ww
 
Polepole ambayo ameshika nafasi nyeti kwenye chama na Serikali amethibitisha Kuna kundi Kwa jina la wana mtandao, ambalo hilo lipo juu ya serikali yaani Kwa kifupi serikali inatii kundi la wanamtandao

Pole ametaja machache

1. Kundi la wanamtandao liliweza kumtoa uhai Rais awamu ya 5

2. Kundi la wanamtandao lilimuuzia Rostam gas na migodi kadhaa Kwa bei ya nyanya

3. kundi la wanamtandao linambikizia kesi Kisiasa

4. Kundi la wana mtandao limeuza bandari, ngorongoro huko Masai hawana makazi

5. Kundi la Wana mtandao wameweka CCM mfukoni, wamepitisha mgombea kimagendo na hakuna wa kubweka

6. Kundi la wana mtandao limetengeza vyama bandia vya upinzanzani ambavyo vipo kama back up ya ushindi wa viongozi ambao watalinda maslahi Yao

7. Kundi la wanamtandao halimwogopi wala kuheshimu yoyote limefungia makanisa, kuvamia padre Kitima, kubambikia kesi n.k

Tumeona lakini magari ya kifahari, apartments, miradi na anasa za watoto wa wana mtandao, wanavyochezea pesa ikiwa Watanganyika hawana ajira, shule hazina madawati, hospital hazina madawa na vitanda, bei ya mazao ikishuka, utitiri wa Kodi n.k

Wanamtandao basi tulegezee kamba, twafaa
We useless sperm, ni hasara kwa Taifa na dunia. Umeandika uchafu bila ht haya
 
Noma
 
Attachments

  • 6ba3db54bfb04a2c8a6f21c8cea0ec2b.mp4
    4.1 MB
  • FB_IMG_1756527808968.jpg
    FB_IMG_1756527808968.jpg
    21.9 KB · Views: 7
Polepole ambayo ameshika nafasi nyeti kwenye chama na Serikali amethibitisha Kuna kundi Kwa jina la wana mtandao, ambalo hilo lipo juu ya serikali yaani Kwa kifupi serikali inatii kundi la wanamtandao

Pole ametaja machache

1. Kundi la wanamtandao liliweza kumtoa uhai Rais awamu ya 5

2. Kundi la wanamtandao lilimuuzia Rostam gas na migodi kadhaa Kwa bei ya nyanya

3. kundi la wanamtandao linambikizia kesi Kisiasa

4. Kundi la wana mtandao limeuza bandari, ngorongoro huko Masai hawana makazi

5. Kundi la Wana mtandao wameweka CCM mfukoni, wamepitisha mgombea kimagendo na hakuna wa kubweka

6. Kundi la wana mtandao limetengeza vyama bandia vya upinzanzani ambavyo vipo kama back up ya ushindi wa viongozi ambao watalinda maslahi Yao

7. Kundi la wanamtandao halimwogopi wala kuheshimu yoyote limefungia makanisa, kuvamia padre Kitima, kubambikia kesi n.k

Tumeona lakini magari ya kifahari, apartments, miradi na anasa za watoto wa wana mtandao, wanavyochezea pesa ikiwa Watanganyika hawana ajira, shule hazina madawati, hospital hazina madawa na vitanda, bei ya mazao ikishuka, utitiri wa Kodi n.k

Wanamtandao basi tulegezee kamba, twafaa
Kama ni kweli, wananmtandao WANATISHA kuliko maelezo, nimepitia FB nikakuta issue ya Dr Ndungulie (mwakilishi mteule wa WHO ukanda wa Afrika) alivyokuwa deleted, sijui kama haya mambo yana ukweli au ni coincidence imetumika kama fursa???

KUNA HARUFU MBAYA YA USHIRIKIANO WA UOVU
🤕

Ikumbukwe Dr, Janabi ndiye aliyekuwa Dr wa Magufuli na ndiye aliyekuwa naye muda wote hadi umauti, kibaya ni kwamba hakuna tarifa zozote zilizotolewa kuhusu hali ya ugonjwa wa JPM, kilichokuja kutangazwa ni kifo chake, mara zote viongozi wa juu kama Majaliwa akihojiwa mahali alipo Rais, alisema Rais yupo Ikulu anachapa kazi
🤔

Sasa baada ya JPM kufariki na muda kupita, Samia alimteua Dr Janabi kugombea Ukurugenzi wa WHO kwa kanda ya Afrika, mwanamtandao mkuu Kikwete alizunguka Afrika nzima kumnadi Dr Janabi akitumia pesa za walipa kodi wa Tanganyika zilizoidhinishwa na Samia Suluhu
😒
je haya yalikuwa malipo kwa Dr. Janabi kumwangamiza Magufuli???
Hizi ni connection DOTS ambazo ukizifuatilia kwa makini utaona jinsi hawa wanamtandao walivyojipanga kummaliza JPM
🤔
🤕

MUJADALA MWINGINE; kabla ya Janabi kuteuliwa na Samia, Dr Ndungulile ndiye aliyekuwa mshindi mshindi mteule wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika na kutoka Tanzania, Dr. Ndungulile akiwa mzima wa afya na kabla hajaripoti ofisi za WHO ghafla aliugua na kufariki pia
🤕
je hamwuoni hizi CONNECTION?? uovu ni mwingi mno
😕
 
Mmmhhh
 
Hii imenishitua mno
 
Back
Top Bottom