Kundi la Vitimbi

Ya kale ni dhahabu

well said! Umenikumbusha wasanii na watangazaji mahiri wa VOK(sasa KBC) baadhi yao wakiwa
- mzee pembe ambaye pia mwandishi wa pwagu na pwaguzi
-mzee tamaa
-baba zero
-mama tofi
-mama njeri
-otholo'ngo ngo danger
-mzee mombasa
-woriha
-makanyaga
watangazaji
-abdul haq
-kazungu katana
-mambo mbotela
-fred machoka(aka blackest man in black africa)
-eddy fondo etc
Hawa jamaa ndio walipaisha VOK.
 
Vitimbi Ilikuwa Matata Mwanzoni Mwamiaka Ya Tisini Walipo Kuwepo Kina Maliwasa, Otorongongo Na Masaaku Ilikuwa Inabamba Vibaya

mwaka 1996 nakumbuka kuna hotel karibu na maasai girls ngong kenya walikwa wanafanya mazoezi pale!hatari sana hawa watu walikuwa
 
Vipaji Kweli Hupotea Kadiri Muda Unavyokwenda Na Miaka Yake.
 
Vioja Mahakamani Yule Jamaa Anaongea Kama Maasai
Ni Maasai Kweli Ama Anatafuta Ridhiki Kama Mkude Simba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom