Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

Basi ww ni mmoja ya watu niliyo sema wanatakiwa kupimwa akili. Hivi hao wanao itwa waislam yenye misimamo mikali ulisha jiuliza silaa kali zenye thamani za mabilion ya fedha wana zitoa wapi?

Hivi ulisha jiuliza mabilion ya fedha wanayo tumia kuwashawishi vijana ili wajiunge nao na wanazo waliwalipa wapiganaji wao,kununulia mafuta wanazitoa wapi?

Hivi ulisha jiuliza ni nani anaye wapa taarifa za kijasusi kiasi cha kujua jinsi ya vikosi vya selikali vimejipangaje na vina silaa gani ?
Hivi hujiulizi ya kwamba itawezekanaje,IS itoke mashariki ya kati kote waruke nchi zote hizo waje kuanzisha kundi msumbiji tena sehamu yenye utajiri wa gesi.

Siku zote huwa wanasema chuki ni mojawapo ya upumbavu mkubwa sana. Kwahiyo kwa sababu ya chuki zako kwa waislam huwezi kuchukua muda kufikiria na kujiuliza maswali hayo niliyo kuuliza.
Na hizo chuki zikizidi ndio wanazidi kuteseka
 
Huwa sipendi kuazungumzia hizi hbr ila mkuu kdg umesema ukwel hawa watu lengo mama ni kuanzisha dola ya kiislamu miaka ya 2000 katikati vijana wengi wenye asili ya pwani ya tz walitoka kwenda kupata mafunzo katika nchi za kiarabu huko walipata mafunzo ya dini na how they can return khilafa (dola ya kiislamu ) pia ikiumbukwe katika dini ya kiislamu wanaamini kuwa uislamu utatawala dunia ila wanazuoni wametofautina sasa katika kurudi kwa dola ya kiislamu wapo wanaosema kuwa ili uislamu utawale dunia waislam wanabidi wasome sana kisha waingie serikalini top layer ya juu yote katika nchi husika iwe ni waislam watupu mfano huu ndio ule wa Misri brotherhood, pia watu mjue kutofautisha kati ya nchi ya kiislamu na nchi yenye idadi ya kiislamu salaf (baadhi) wamekubaliana kuwa kwa sasa hakuna nchi ya kiislamu isipokuwa kuna miji ya kiislamu, miji ya kiislamu ni ile inayotumia quraan kama muongozo (katiba) salaf wanaamini demokrasia ni ukafiri ndio maana hawapigi kura, pia kuna baadhi ya wanazuoni wanasema njia pekee ya kurudisha dola ya kiislamu ni kwa kulazimisha serikali kutoka kwa nguvu (kupigana na serikali ). Sasa basi wanajihad wote wanakubalian kuwa ili jihad iwepo sehem ni lazima hiyi nchi iwe na migogoro ya ndani baina ya serikali na wananchi wachache coz kipindi serikali inapokuwa busy na vurugu na vitisho vya ndani kwao inakua rahisi kujipanga na kufanya maasi. Kuhusu madai kuwa America ndio wameanzisha Isis si kwel Isis history yake ni kuanzia kandahari kwenye training camp ya khalid bin waleed, America wamekuwa wanatumia propaganda hiyo kusema wao ndio wameanzisha ili kupunguza ushawishi kwa vijana kwenda kujiunga huko, Isis wapo hadi china na Russia sio Asia or africa pekee, kuhusu silaha , fikiria kipindi kile tz vituo vya polisi vinavamiwa na silaha kuchukuliwa ina maana wale walikuwa wanajipanga bahati nzr waliwahi kuwadhibiti na target yao kubwa ilikuwa sio polisi ni vikosi vya jeshi ila kwa kuwa waliona kuanzisha mashambulizi jeshini ni sawa na kutangaza mechi then haujajipanga so wakaona bora watulie tu. Kuhusu pesa kuna matajiri wakubwa wa kiislam wanabariki hayo mambo.
MWISHO mwaka jana kuna daktari alikuwa anafanya kazi katika hospital ya jeshi lakini Daktari huyo alikuwa salaf kindakindaki so baada ya wanajihad wa kibiti na mkuranga kukimbizwa wengine kuuliwa yeye akawa aumia sn siku moja akajificha sehem kuna askari alikuwa anapita njia kwenda job saa kumi alfjr coz alikuwa anafanya mbali so alikuwa anajihimu mapema kuwahi kambini yule daktari alimvamia askari na kumpiga panga kichwani kisha akakimbia bahat nzr kulikuwa na raia anapita ikabidi amkimbize yule daktari huku akimuitia mayowe kua kaua, alikamatwa huku anasema allah akbar allah akbar hawa wanajeshi wa tz wameua ndg zetu kibiti so mm nimelipa kisasi nilikuwa nachukia sn ninapowaona so unaweza pata picha kuwa hawa ni watu wa aina gani. wapo wanajeshi na polisi wastaafu kibao ambao wanajua in nd out about battle usidhani ni watu wajinga wajinga tu.
Aliyekudanganya kuna kipimo cha akili ni nani?

Unaweza kuthibitisha hawa wa msumbiji wana hivyo vitu?

Hizi taarifa wewe umezipata wapi na umejuaje kuwa wanalipana?
Kinachofahamika hadi sasa ni kwamba wale ni salafi na salafi unawajua kwa jihad!

Hizi habari umezipata wapi wewe?

Hujui sababu ya hawa jamaa kwenda msumbiji?

Ni maswali ya kijinga sana na tena si ya kijinga tu bali yana utoto ndani yake.

IS wa msumbiji wanafahamika kama Masalafi na masalafi wanafahamika katika kutekeleza jihad za namna hii, hawa si wajinga na lengo lao mama au kuu ni kuanzisha maeneo yenye utawala wa kiislamu.
 
Exclusive: Inside the secret world of US commandos in Africa

1597340595611.png

US Special Ops secretly active in almost half of Africa, new report reveals, as military touts threat of China & Russia
 
Sir, uliyoyaandika ni ya kweli lakini ukiangalia kwa jicho la tano utaona kuwa Msumbiji haifikii utajiri wa rasilimali uliopo Tanzania hata nusu!

Sasa kwanini Tanzania hayatokei? Au sisi tu wajinga hawahitaji kutumia hizo njia ili kuchota rasilimali zetu? Au pengine tumekubaliana na matakwa yao?

Sir, shtuka IS is really na wana nguvu sana na siku wakipata sababu ya kuja huko Tz ndio mtaelewa kumbe this is ain't a joke.
Soma uzi wa wale waajiriwa Waislamu waliofutwa kazi UDOM, yule jamaa aliyechana Quran uone ni jinsi gani tunaishi na watu hatari.

Na wengine ni wanawake kabisa ila wana roho mbaya, okay binafsi naweza kusema hawatanisumbua kwa sababu mimi mwenyewe mafia tena mbwa what about my family? What about my weak pals? What about other people?
Mkuu,Nusu ya population ya Msumbiji ni Wakristo,Sasa hao ISIS wanaokwenda kupigania au kumpa hamasa Nani huko? .

Hizi taarifa zilianzwa kutangazwa na kusambazwa na Wamarekani,na ndio hao hao Wamarekani ndio wanaonawapa uwezo hao ISIS

Tafakari..
 
Kuna kipindi wanajihad watanzania walitamani watu waandamane then katika maandamano yatokee machafuko makubwa sn ili vikundi vidogo vidogo vireact dhidi ya serikali ili wao wapate kufanya yao. wanajihad wote duniani wanakubaliana kuwa katika nchi ambayo haina vita vya ndani au migogoro ni ngumu sn kuanzisha jihad hili ata Osama bin Laden aliwahi sema 2002 alipokuwa katika hotuba ya kuwataka vijana kutoka simba wa jangwani (tunisia) alisema ombeni sn watu wa demokrasia wavurugane ili umpate upenyo wa kuanzisha jihad , kessi abdallah kesi (msemaji wa kikundi kilichokimbizwa tz) aliwahi sema kuwa asiyesikia atasikia na asiyeona macho yake yataona alisema tunazamisha jahazi tuzame wote atakayeweza kuogelea basi anaweza pona,nimenukuu hapo si maneno yangu. so hv vikundi musivitazame kwa jicho la juu juu tu kuna watu hapa tz hawajapata chance tu ya kufanya yao wakipata tu dunia nzima itajua , Rejea mashambulizi aliyofanya mtz mwenye asili ya zanzbar Mohammed ghailan huko UK then ndo utajua kuwa ni watu wa aina gani.
 
Naungana nawe mkuu.
Hawa ni wa Marekani wananyapia miradi eneo hili. Hakuna cha IS wala babu yake IS
Sasa kamradi ka usd 60ml ndo marekani atoe macho... Au hiyo gesi imeizidi ya Russia?? Why tunaruka mbali Sana. What if labda nchi hizi hizi Z afrika ndo zinamzunguka jirani.
Kama kongo hapo ambao tall au makofia wanachukua chao kila siku.
 
Ulisoma vizuri maoni yangu au ndio usalafi umeanza?

Huwa nacheka sana napoona vitu kama hivi.
Unaweza kuniambia Msumbiji ina rasilimali gani muhimu na bora sana ambayo haiko Tanzania?

Unaweza kuniambia kwanini Uganda wana Oil na hakuna hayo mambo?
Unaweza kuniambia kwanini Angola wana Oil na hakuna hayo mambo?
Unaweza kuniambia kwanini Tanzania ina Tanzanite na hakuna hayo mambo?

Au hivi si muhimu ila muhimu ni gesi ya Msumbiji ambayo Tanzania pia inayo?
hakuna wa kukujibu maswali yako.
watu wamejikita kwenye propaganda, hisia wamezigeuza kuwa uhalisia.
hawa jamaa hawana tofauti na mzee wa KAYA.. baada ya kuona mataifa ya kigeni kuanza kumshooshe kidore dhidi ya ubinyaji democrasia nchini..
akaibuka na madai uchwala kwamba wazungu wanamchukia kisa alizuia kontena 2 za makininikia.

Wenye akili zao wakaohoji:, ni vipi huyu MZUGA azuie kontena kadhaa tena za makinikia wazungu wamchukie, wakati Mwalimu alizuia migodi yote ya almasi dhahabu etc na wazungu wengine kufukuzwa nchini laki mataifa ya kigeni hayakufanya kama walivyofanya kwenye utawala wake.
kwa hiyo leo kontena za makinikia zimekuwa na thaman kubwa mbele ya MABEBERU kuliko migodi!.
 
Huwa sipendi kuazungumzia hizi hbr ila mkuu kdg umesema ukwel hawa watu lengo mama ni kuanzisha dola ya kiislamu miaka ya 2000 katikati vijana wengi wenye asili ya pwani ya tz walitoka kwenda kupata mafunzo katika nchi za kiarabu huko walipata mafunzo ya dini na how they can return khilafa (dola ya kiislamu ) pia ikiumbukwe katika dini ya kiislamu wanaamini kuwa uislamu utatawala dunia ila wanazuoni wametofautina sasa katika kurudi kwa dola ya kiislamu wapo wanaosema kuwa ili uislamu utawale dunia waislam wanabidi wasome sana kisha waingie serikalini top layer ya juu yote katika nchi husika iwe ni waislam watupu mfano huu ndio ule wa Misri brotherhood, pia watu mjue kutofautisha kati ya nchi ya kiislamu na nchi yenye idadi ya kiislamu salaf (baadhi) wamekubaliana kuwa kwa sasa hakuna nchi ya kiislamu isipokuwa kuna miji ya kiislamu, miji ya kiislamu ni ile inayotumia quraan kama muongozo (katiba) salaf wanaamini demokrasia ni ukafiri ndio maana hawapigi kura, pia kuna baadhi ya wanazuoni wanasema njia pekee ya kurudisha dola ya kiislamu ni kwa kulazimisha serikali kutoka kwa nguvu (kupigana na serikali ). Sasa basi wanajihad wote wanakubalian kuwa ili jihad iwepo sehem ni lazima hiyi nchi iwe na migogoro ya ndani baina ya serikali na wananchi wachache coz kipindi serikali inapokuwa busy na vurugu na vitisho vya ndani kwao inakua rahisi kujipanga na kufanya maasi. Kuhusu madai kuwa America ndio wameanzisha Isis si kwel Isis history yake ni kuanzia kandahari kwenye training camp ya khalid bin waleed, America wamekuwa wanatumia propaganda hiyo kusema wao ndio wameanzisha ili kupunguza ushawishi kwa vijana kwenda kujiunga huko, Isis wapo hadi china na Russia sio Asia or africa pekee, kuhusu silaha , fikiria kipindi kile tz vituo vya polisi vinavamiwa na silaha kuchukuliwa ina maana wale walikuwa wanajipanga bahati nzr waliwahi kuwadhibiti na target yao kubwa ilikuwa sio polisi ni vikosi vya jeshi ila kwa kuwa waliona kuanzisha mashambulizi jeshini ni sawa na kutangaza mechi then haujajipanga so wakaona bora watulie tu. Kuhusu pesa kuna matajiri wakubwa wa kiislam wanabariki hayo mambo.
MWISHO mwaka jana kuna daktari alikuwa anafanya kazi katika hospital ya jeshi lakini Daktari huyo alikuwa salaf kindakindaki so baada ya wanajihad wa kibiti na mkuranga kukimbizwa wengine kuuliwa yeye akawa aumia sn siku moja akajificha sehem kuna askari alikuwa anapita njia kwenda job saa kumi alfjr coz alikuwa anafanya mbali so alikuwa anajihimu mapema kuwahi kambini yule daktari alimvamia askari na kumpiga panga kichwani kisha akakimbia bahat nzr kulikuwa na raia anapita ikabidi amkimbize yule daktari huku akimuitia mayowe kua kaua, alikamatwa huku anasema allah akbar allah akbar hawa wanajeshi wa tz wameua ndg zetu kibiti so mm nimelipa kisasi nilikuwa nachukia sn ninapowaona so unaweza pata picha kuwa hawa ni watu wa aina gani. wapo wanajeshi na polisi wastaafu kibao ambao wanajua in nd out about battle usidhani ni watu wajinga wajinga tu.
Ndugu nashukuru kwa comments zako lakin nina wasiwasi sana kuhusu uelewa wako na geopolitics ya dunia na Inaegemea na kulenga upande gani. Ungesoma kitabu cha prof Samir Amin "Muslim Fundamentalists at the Work of Imperialism" ungeelewa nini kinachoendelea. Mm ni mkristu na nina ndugu waislam hatuna ugomvi wa kiimani. So Hakuna cha kutetea dini wala nn lakin ni badhi ya waganga njaa wanatumiwa na Western governments ambazo zinaendeshwa na ma kampuni makubwa just to get access to cheap or free natural resources. So kwa sababu wanajua wakimtumia sheikh uchwara/mganga njaa akiongea vijana wa kiislam wataangukia kwenye huo mtego kirahisi kuliko mchungaji au askofu na kwenda kupigana wakidhani wanapigania dini kumbe maslahi ya wakubwa wa magharibi.
 
Sasa kamradi ka usd 60ml ndo marekani atoe macho... Au hiyo gesi imeizidi ya Russia?? Why tunaruka mbali Sana. What if labda nchi hizi hizi Z afrika ndo zinamzunguka jirani.
Kama kongo hapo ambao tall au makofia wanachukua chao kila siku.
Akiuza jet fighter moja tu anapata hiyo pesa na chenji inabaki.
gasi aliyonayo mmarekani ni nyingi mno, hadi sasa anagombea soka na mrusi uko ulaya, Us anawachimba biti ulaya wasinunue gesi ya mrusi ili yeye auze uko.

ikiwa aliyo nayo tu bado haina wateja ni vipi atolee macho gesi msumbiji!!..
Marekani ni mabarazuli kweli kweli lakini isiwe gep la kila kikiundi cha wapumbavu kuhusishwa nae.
 
Inamaana hawa mabwege kuchukua bandari na kua karibu na tz...nafkiri main goal ni huku kwetu..na bandari ni strategic area ili kupata vifaa na war supplies kwa muda muafaka....na kujiita sijui alshabab Naona ni chaka la kujifichia ili wakristo na waisilamu watengane,....halafu ndo wakinukishe...huu mtego wa kutenganishwa ili tuingiliwe tuwe nao makini....na Naona intelligence yetu imetimia maana maangalizo yalitoka mapema uko mpakani..hivo wapumbavu hawa wakija wapigwe tu........na kiongozi yeyote msaliti anaetumiwa na hao wa nje ili kuleta vurugu nchini kuliwa kichwa ni halali.
 
Sasa kamradi ka usd 60ml ndo marekani atoe macho... Au hiyo gesi imeizidi ya Russia?? Why tunaruka mbali Sana. What if labda nchi hizi hizi Z afrika ndo zinamzunguka jirani.
Kama kongo hapo ambao tall au makofia wanachukua chao kila siku.
akiuza jet fighter moja tu anapata hiyo pesa na chenji inabaki.
gasi aliyonayo mmarekani ni nyingi mno, hadi sasa anagombea soka na mrusi uko ulaya, Us anawachimba biti ulaya wasinunue gesi ya mrusi ili yeye auze uko.

ikiwa aliyo nayo tu bado haina wateja ni vipi atolee macho gesi msumbiji!!..
Marekani ni mabarazuli kweli kweli lakini isiwe gep la kila kikiundi cha wapumbavu kuhusishwa nae.
 
Hao Si wakuwachekea Kabisaaaa........

Walianzisha Mambo Yao Kibiti....wakafurushwa nafikiri watakuwa wamekimbilia Mosimboa Da Praia Kuwatesa Wanamsumbiji....

Nadhani ukiwacha msukumo wao wa kutafsiri DINI WATAKAVYO lakini pia kutakuwa na MASPONSA wao wenye nguvu kuanzia BARA ARABU Mpaka AMERIKA YA KASKAZINI.....

Ukimuona Yeyote Anayeshabikia UPUMBAVU wao,basi MTENGE,MKIMBIE na Kama umempangisha katika nyumba yako,sitisha haraka MKATABA na uingie hasara ya KUMLIPA KODI YAKE ASEPE......

Ni mentality mbovu waliyonayo ndani ya vichwa vyao vibovu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom