Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

Jeshii anzeni kusogeza vifaru jet fighting na zana za kiviti raia wakakamavu hii show haiwahusu kaeni kwenye vituo vyenu mtulie msije mkala mirungula mkawa mainformer wa majamaa nyie kaeni tu mtaani tugombanie mademu
Vifaru vya kazi gani??
Hatuhitaji vifaru kwenye vita ya kuvizia!
Unajua anaye linda mahali na anaye kuja kuvamia mara nyingi mvamiaji anashinda......
 
Jeshii anzeni kusogeza vifaru jet fighting na zana za kiviti raia wakakamavu hii show haiwahusu kaeni kwenye vituo vyenu mtulie msije mkala mirungula mkawa mainformer wa majamaa nyie kaeni tu mtaani tugombanie mademu
Hii ni Vita ya kuvizia inahitaji intelligensia zaidi maana hawa wahuni wanavamia vijiji au kambi za jeshi kwa kushtukiza.

Inteligensia ni muhimu sana kwenye dunia ya sasa hasa unapokabiliana na makundi haramu kama haya, Kama nchi mkiwa na inteligensia imara mnaweza kuyazima magenge kama haya kimya kimya kabla hata hayajapata nguvu na kuwa tishio.
 
Ukijiuliza kwa mbaaaali,kwanini hicho kikundi hakishambulii,Miundombinu ya USA ya kuchimba gesi na mafuta iliyopo hapo?
Hivi vikundi vinafadhiliwa na USA,UK,
Hapa Msumbiji inabidi iombe msaada wa kiinteligensia kutoka CUBA,au Korea ya Kaskazini,China,waombe msaada kutoka nchj mahasimu wa UK na USA,
Vile vile TZ,wasisubili mpaka hiki kikundi kiote mizizi,Kama bocko Haram,Hawa walinzia Nigeria,sasa wapo mpaka Cameroon,na Hawa dawa yao si kupereka Conventional army(wanaovaa insignia,nembo)hapa unapereka "hit squad"covert operation unit,wazee wa TZR,
 
Siyo waislam hao mkuu Mmarekani anakomaa arudishe uchumi wake China ni pasua kichwa aisee
Sir unaweza kuthibitisha ni Marekani?
Na Msumbiji ina rasilimali gani kuishinda Tanzania au Angola hadi Marekani iitolee macho?

Hiyo gesi waliyonayo yote haifikii hata 0.0000001% ya Gesi iliyopo hapa Marekani.
 
Ukijiuliza kwa mbaaaali,kwanini hicho kikundi hakishambulii,Miundombinu ya USA ya kuchimba gesi na mafuta iliyopo hapo?
Hivi vikundi vinafadhiliwa na USA,UK,
Hapa Msumbiji inabidi iombe msaada wa kiinteligensia kutoka CUBA,au Korea ya Kaskazini,China,waombe msaada kutoka nchj mahasimu wa UK na USA,
Vile vile TZ,wasisubili mpaka hiki kikundi kiote mizizi,Kama bocko Haram,Hawa walinzia Nigeria,sasa wapo mpaka Cameroon,na Hawa dawa yao si kupereka Conventional army(wanaovaa insignia,nembo)hapa unapereka "hit squad"covert operation unit,wazee wa TZR,
Mkuu, unaweza ukathibitisha kama kweli hichi kikundi kinafadhiliwa na USA au UK?

Hiyo miundombinu ya kuchimba gesi kwani ipo kwenye maeneo yanayoshikiliwa na hao wahuni? au ipo ndani ya maeneo yanayoshikiliwa na serikali?

Hata kama wasiposhambulia hiyo miundombinu ya uchimbaji ila wakivamia vijiji na kuhamisha raia kwa nguvu au wakishambulia kambi za jeshi na kuteka maeneo muhimu kama bandari huoni mpaka hapo wameshahujumu shughuli za uchimbaji wa gesi? Vipi sasa ionekane kama haya makampuni hayaathiriki na hizi ghasia?
 
Ni kweli kabisa, nakumbuka pale kibiti tungezembea basi na sisi tungekua katika wakati mbaya sana, maana polisi walikua wanaelekea kuzidiwa. Ndipo vijana wetu shupavu wa Jwtz walipoingia pale, ulifanyika msako wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda, kichaka kwa kichaka, kila kilichofunikwa kilifunuliwa, yatosha kusema ya kwamba walichokipata wale WAPUMBAVU hawatakisahau maishani mwao, ndipo baada yakuona chakufia nini! Baadhi yao waliofanikiwa wakatoroka.

Kwakuliona hilo JWTZ wakaamua kujenga na kikosi kabisa ktk pori la Rufiji.
Jwtz ngata
 
Yes sasa hivi kuna articles kibao ziko wazi kuzungumzia hiyo nchi,na walivyofanya. Watu baadaye walikuja kuuana mpaka leo kuna anti balaka na anti seleka . Anti Balaka ni wakristu, Anti Seleka ni waislam ni mgambo lakin msemaji wa Kundi na viongozi wachache ndio walikua waislam tena nadhani wengine ni majina walijipachika. The world is so complex. Africa ina vibaraka wengi na wasaliti
Jamaa unaonekana una mengi kichwani tuibie kidogo
 
Ukijiuliza kwa mbaaaali,kwanini hicho kikundi hakishambulii,Miundombinu ya USA ya kuchimba gesi na mafuta iliyopo hapo?
Hivi vikundi vinafadhiliwa na USA,UK,
Hapa Msumbiji inabidi iombe msaada wa kiinteligensia kutoka CUBA,au Korea ya Kaskazini,China,waombe msaada kutoka nchj mahasimu wa UK na USA,
Vile vile TZ,wasisubili mpaka hiki kikundi kiote mizizi,Kama bocko Haram,Hawa walinzia Nigeria,sasa wapo mpaka Cameroon,na Hawa dawa yao si kupereka Conventional army(wanaovaa insignia,nembo)hapa unapereka "hit squad"covert operation unit,wazee wa TZR,
Hii ni mbinu ili us aweke kambi Kwa kujifanye anapambana na magaidi ili apate kuiba mali za asili anatengeneza tatizo kudidi
 
Acha , Bora ISS kuliko CCM wanaotusomesha number km mbwa mchana kweupee, watatia akili!!! kama mbwai na iwe mbwai tu, tukose wote, vijana wengi sasa changamkia fursa ajira nje!nje!

Madaktari mtapata mishahara minono ISS , tibu gaidi upate thwawabu!!!! JKT graduates, msipotee mnatakiwa, vyeti feki mko mitaani tu mna ujuzi wa JKT, kazi kwenu, mtatufaa sana huku msituni! Jiwe amefanya kosa la kihistoria kuwaweka mitaani,

Passport bandia mtapata mtaenda popote Duniani, tuwasiliane in box, au kwa anuani yangu. ila wale nusanusa afisa usalama msije, km hamtaki kufa! TZ itashindwa tu, so long as akili na michongo ya jeshi la Nyerere sasa inaishia! TISS wengi wamestaafu au kufa kabisa! waliopo wapo kiupendeleo kazi hawawezi!

Kaskazini kuna Al-shaabab, kusini ISS, Magharibi INTARAHAMWE, Jirani Boko Haram!! Sijui janja weed!, mara Joseph Konyi, atapumua kweli????? Report ya TISS inasema ISS siyo suala la ki-sport sport hao Body guard wake watachakazwa mbele yake! dakika sifuri, wape mda!

Waislamu wameonewa sana ndiyo jibu la wanyonge, Taki !!! birrrrrrri.......
 
Mkuu ndio maana nimesema ww akili yako ni ndogo, yaani unani unaomba udhibitisho wa yakwamba kama waasi hao wana silaa?
Kwahiyo hivyo vita wanavyo pigana na serikali kiasi cha kuishinda nguvu wanatumia madera ya kudangia ya dada yako kupigana hivyo vita au?

Hivi jeshi la serikali unaweza kulishinda bila ya silaa nzito na kali au una dhani kuishinda serikali ni lelemama. Hivi utamilikije wapiganaji bila kuwalipa, kuwalisha na kuwatibu?.
Mzaramo bana Nyerere kaishinda ya Mkoloni kwa maneno matupu, mzanaki yule alikuwa na siraha gani! augostino neto je?
 
Back
Top Bottom