Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

Na hapo ndio wenzenu wanapowachezea akili

Mataifa makubwa yanayo tawala huu ulimwengu yana tumia tofauti zenu za kiimani .kiitikadi .kikabila . kielimu .etc kutuchonganisha wenyewe kwa wenyewe .. Kwa kuyatumia makundi ya magaidi ambayo hupachikwa mwamvuli wa kiimani ili makundi hayo yaonekane kuwa yanalenga kutetea dini fulani ..kumbe nyuma ya pazia utakuta kuna mkono wa USA .FRANCE .ENGLAND .RUSSIA .au Turkey ili watugombanishe halagu wao wachote rasilimali za waafrica.. Yatupasa tuamke aisee tu think nje ya box na kutegua hii mitego ya kipumbavu tunayo tegewa
Kwa hiyo hao wa Msumbiji Ni nchi gani inahusika?
 
Ni kina nani kama si Waislamu waovu (baadhi)?

Kumbuka Msumbiji population yake kubwa ni Wakristo, inamifumo Kristo n.k na hili jambo limetokea na litaendelea kutokea kwa sababu ambayo si uwingi wa Wakristo msumbiji nadhani sababu unaifahamu.
Tuna safari ndefu sana kuwa na watu wenye mawazo kama yako!
Kwa tarifa yako hapo tukitia mguu tunakula vikwazo visivyo julikana!
 
Ni kina nani kama si Waislamu waovu (baadhi)?

Kumbuka Msumbiji population yake kubwa ni Wakristo, inamifumo Kristo n.k na hili jambo limetokea na litaendelea kutokea kwa sababu ambayo si uwingi wa Wakristo msumbiji nadhani sababu unaifahamu.
Na uwarabuni je , uwe unawaza Kwa kutumia kichwa mda mwengine, hao wanajiita sio kama waislam wamejipachika jina lengo kualibu uislam hata Mimi naweza nikajiita mfuasi wa Kristo lakini nikafanya mambo tofauti na aliyokua anayofanya au anayokataza Kristo sasa ukisema msumbiji wamefamiwa na hao wanaojiita IS sababu wengi wakristo vipi kuhusu huko uwarabuni ?

Huu ni mpango wa marekan wanatumia neno uisilam lengo kuchafua dini hii na kwakua ujinga huu ulianzia uarabuni Kwa kupora mafuta ndio akatumia Imani za watu ili afike malengo yake na kuchafua uislam
 
Yale yale ya MKIRU! Mkuranga, Kibiti na Rufiji
Ni wale wale, na wangechekewa basi leo hali ingekuwa kama ya Msumbiji. Serikali inapo wadhibiti siasa kali kama wale Mashehe wa Uamsho wengi wanashindwa kuelewa kuwa vile ndiyo chanzo cha hii hatari na madhara yake ndio haya. Wale jamaa wana pesa na wanaweza mshawishi mtu yeyote kujiunga nao.

Tatizo la Msumbiji wao kwa wao hawaelewani, wana Ukabila, wana Waasi wa Renamo. Hawazungumzi lugha moja. Wanaishi kiujima ujima, hawana mahusiano mazuri na majirani zao. Ni wabinafsi na wanajiona sana na wanajifanya ni Wareno. Wanawadharau raia wa nchi nyingine hasa Waafrika wenzao. Nk.

Wacha wajifunze kuheshimu majirani.

Kama hao Magaidi watapenyeza huku TZ tunaomba Serikali itangaze kujitolea kupigana nao, huku mtaani tuko mgambo wengi sana sana, na tuna hamu ya kuwashikisha Adabu hao vibaraka.

Tuta watwanga hata kwa marungu. Kama Bunduki tutazinunua wenyewe.
 
Sir, uliyoyaandika ni ya kweli lakini ukiangalia kwa jicho la tano utaona kuwa Msumbiji haifikii utajiri wa rasilimali uliopo Tanzania hata nusu!

Sasa kwanini Tanzania hayatokei? Au sisi tu wajinga hawahitaji kutumia hizo njia ili kuchota rasilimali zetu? Au pengine tumekubaliana na matakwa yao?...
Hakuna kitu kigum kusafirisha kama silaha za kivita pia kuzitumia sio rahisi kwa mtu ambaye hana mafunzo!!
Pia sio pesa kidogo! risasi zenyewe tu sio pesa kidogo!
 
Mkuu ndio maana nimesema ww akili yako ni ndogo, yaani unani unaomba udhibitisho wa yakwamba kama waasi hao wana silaa? Kwahiyo hivyo vita wanavyo pigana na serikali kiasi cha kuishinda nguvu wanatumia madera ya kudangia ya dada yako kupigana hivyo vita au?...
Nje na ulichokiandika hapa.
hivi ni kwanini tunapaswa kudhani mmarekani pekee ndiye anaweze kufadhili magaidi/ waarifu na sio nchi nyingine?.
ama marekani pekee ndiye uhitaji na materials na sio nchi nyingine?.
 
Hakuna cha waislam wala nani, Hapa kuna resources zinatafutwa kwa nguvu ili zichimbwe kwa bei che au bure..kama mnakumbuka Central Africa Republic ambako waislam wako less than 5% kuna Kundi lilijiita anti Seleka wakawa wanapigana kutoka mpaka wa Chad kumuondoa aliekua rais François Bozize na walifanikiwa kumuondoa ,walikua wakidai kwamba wanahitaji an equal representation in all public sectors.

Wale watu media zilituaminisha kwamba ni wa Tuareg from the northern parts, lakin walikua wanajeshi wa nchi fulani waliokuwa kwenye kikosi cha UN Darfur na kamanda mkuu wa UN alikua kutoka nchi hiyo.

Wanajeshi hao walitafuta vibaraka wachache ambao watakua wasemaji wa Kundi hilo ila vitaa ilipiganwa na jeshi hilo mpaka nchi ikatekwa. Walikua wanapewa all financial support na marekani. So hata ya Msumbiji tutakutana na mambo kama hayo, kuna haja ya kuangalia ndazi zaidi ya tunachoambiwa na media ambazo zina divert just people ,s attention.

Hakuna waislam ila kuna kibaraka mmoja msemaji wa Kundi ndiye anaongea hayo huenda hata front haendi. Msumbiji inastahili kuongea na majirani zake ili wawadhibiti mapema kwa nguvu zote. Na siku atakapokamatwa mmoja wa wapiganaji wakimbana vizuri ataongea ukweli
 
Heshima yenu wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kikundi cha wapiganaji huko Mozambique ktk mkoa wa CABO DELGADO wamefanikiwa kuiteka wilaya kubwa ya MSIMBOA DA PRAIA!

wameua mamia ya wakazi kwa kuchunja na baadhi ya wanajeshi hvyo mji huo mpka sasa hauna Raia yoyote na sasa washaichukua bandari ya wilaya hiyo!hli si nzuri ukizingatia wilaya hiyo ni KM chache mpka Mtwara !!wakimbizi wengi kutoka hiyo wilaya washakimbilia mtwara pia!!
 
Back
Top Bottom