Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

US kwa kivuli cha IS wanasababisha machafuko ili US halisi aje kwa gea ya msaada na mkataba juu achukue rasilimal
Duh..US ana lawama jamani...dah...kwann asiwe mchina.mfaransa etc...manaa makampun ya uwekezaj dunian style yao ni1..sana sana uwekezaj wa china africa una mashaka....anawekeza kila kona..y usifkirie hata kusema bas mataifa.imebak US kwenda mbele..aaah jameni
 
Jwtz ni wakat sasa wa kuwasaidia wana mozambique
Hata sku1...hatutak kuungilia .wacha wapigane vita yao..unataka yale ya kenya na alshabab yaje hapa.kila mtu apigane vita yake kama sis tulivyopigana na amin dada
 
Mpk waingie mipakani mwetu hawawezi tu nunua kesi hivihivi utaiweka nchi pabaya Vita si lelemama ndugu.. inagharama zake Tena kubwa tu..
Kabisa...yan tuache kujenga madaraja na kujenga hospital .tukapigane vita ambayo haituhusu...ya kenya si unaona wanachokipata
 
Na hivi vikundi vinapenda kuzungumziwa kutangazwa tangazwa kwenye vyombo vya habari.
 
Msumbiji kama wameshindwa kuwadhibiti hawa magaidi ni vyema kuomba msaada wa kimataifa au nchi jirani ili kuwadhibiti hao jamaa mapema kabla hawajaanzisha ngome huko hali ikawa mbaya ukanda huo

Ugomvi wao waachie wao. Unasema waombe msaada kwa nchi jirani tukipeleka askari wetu sasa waseme tunaanza na Tanzania...

Unafikiri itakuwa kazi nyepesi kuwazuia???
 
Jeshii anzeni kusogeza vifaru jet fighting na zana za kiviti raia wakakamavu hii show haiwahusu kaeni kwenye vituo vyenu mtulie msije mkala mirungula mkawa mainformer wa majamaa nyie kaeni tu mtaani tugombanie mademu
 
Kwahiyo wewe unaamini wanafanya huo ugaidi la lengo la kusimamisha dola ya kiislamu?
Yes, ndio lengo mama la waislamu duniani kote.
Nikikuuliza lolote kuhusu dini ulaya utaniambia Makanisa yanabadilika na kuwa Misikiti, wazungu wengi hawana interest na Kusali tena na blah blah zingine na mwisho wako utasema so soon Ulaya itakuwa ya kiislamu!

Hili ndio lengo mama la hiyo imani kuhakikisha inaitawala dunia na Quran imetoa njia kabisa za kutekeleza hayo! Na hili wala si jambo geni ameanza nalo mtume wenu miaka 1400 iliyopita!

Kwa kumalizia nafahamu kuwa Msumbiji ina wanajeshi wake Somalia na hili ni tatizo.
 
Kibongo bongo ugumu wa maisha ndio kipimo cha akili

Kizungu zungu akili hupimwa mitihani + IQ TEST
Kwa hiyo mtu akiwa na maisha magumu ndio hana akili?

Hamna IQ test wala EQ test na hazijawahi kuwepo!
Kila binadamu ana akili na kila binadamu ugonjwa wa akili.

Kamata hii nitakufundisha Mungu akipenda
 
Hao watu hawafanyi kazi zao hivyo,hawa watu wanatafuta sehemu yenye Waislam wengi halafu ndio wanaanza kusambaza Idea zao..Mfano mzuri Nigeria,Somali, huwezi kuwahamasisha watu wachache wasio na uwezo kupigana na Serikali..

Kupigana na Dola kunatakiwa uwe na uwezo wa hali na mali pamoja na hamasa za watu

ISIS ni kikundi kilichoanzishwa na CIA,OSAMA hali kadhalika,hiyo iko wazi kila mtu anajua..
Kumteka Muislamu afanye upumbavu ni rahisi kuliko kumteka Mkristo umewahi kujiuliza kwanini?

Kabla sijaendelea thibitisha CIA na Osama Bin Laden walianzisha IS nasubiri.
 
Kabisa...yan tuache kujenga madaraja na kujenga hospital .tukapigane vita ambayo haituhusu...ya kenya si unaona wanachokipata
Umesahau, wa MKIRU walienda wapi? au hujui kuwa hao walio msumbiji waliwahi kujaribu kuingia Tanzania? Hawa si sawa na Iddi Amin, wao wanajaribu kuunda taifa lao bila kujali wanamega nchi ngapi! soma Uzi ufuatao ujue ni kwa nini lazima Tanzania iingie kwenye vita hiyvyo: Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa Kundi la Kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania
 
Mkuu, Mimi hizi habari nimezisoma katika mitandao,Wamerekani wakitoa onyo kuhusu kuwepo kwa kikundi kinachofadhiliwa na ISIS huko Msumbiji,Kabla hata hazijafika humu JF
JF haiwezi kuwa chanzo cha habari za kimataifa kwa sababu wanaoleta hizi habari ni watu tu anaperuzi huku na kule akiona analeta.

Sehemu ya kwanza kuripoti hizi habari za ugaidi wa makundi ya Kiislamu ni tv ya taifa ya msumbiji na mimi nilibahatika kuiona kutoka tv ya taifa ya Angola inaitwa Tpa1.

Sasa najua huna uwezo wa kuthibitisha hata nikikwambia nipe screenshot ya hao wamarekani utaleta vi-habari vya juzi kutoka kwenye personal accounts!

Umesema Msumbiji Kuna watu wachache masikini ambao Ni Waislam,Sasa hizo silaha za kuweza kupigana na Jeshi la Msumbiji,uwezo wa kuteka Bandari wametoa Wapi?.
Nilikutajia kile kijiji kilichopo nyuma ya Kaserya ambacho kina Waislamu wengi sanaa kiasi muda wa sala hupati hata Soda 😂.

Masalafi wakienda pale wakawaambia wapambanie dini wafanye jihad na silaha hizi hapa, fedha hizi hapa na zingine wachangishane wao kwa wao na misimamo yenu ya kuturuku ada unaijua watashindwa?

Wale wa Kibiti uliwahi kujiuliza uwezo wa kulishinda jeshi la Polisi waliutoa wapi?

Angola,sijui Kama unamkumbuka SAVIMBI alikuwa anadhaminiwa na nani,Kama hukumbuki Basi Marekani ndie alikuwa mdhamini mkukbwa wa SAVIMBI, SAVIMBI alikuwa anaalikwa mpaka WHITE HOUSE..
Tatizo nikitaka uthibitisho hutaweza kunipa kwamba walimpa zile fedha kwa ajili ya kufanya ubaya fulani HUWEZI!

Wewe subiri Tanzania ichimbe mafuta au Gesi,halafu mikataba ya kuchimba hiyo Gesi na mafuta tumpe Mchina, ndio utajua ISIS wanatokea wapi..
Kwa hiyo Tanzania haichimbi gesi?
Hivi itakuwaje nikikwambia gesi ya Mtwara si yetu na hatuna mamlaka nayo na uthibitisho nikakupa kutoka kwa clip ya Rais Magufuli?

Wake up my sis
Umeishiwa hoja sasa, unaona avatar yangu ni ya kiume kabisa and you damn call me your sis?

Aisee you better stay out of huu mjadala kama mihemko ya imani yako imeanza kukupanda.
 
JF haiwezi kuwa chanzo cha habari za kimataifa kwa sababu wanaoleta hizi habari ni watu tu anaperuzi huku na kule akiona analeta.

Sehemu ya kwanza kuripoti hizi habari za ugaidi wa makundi ya Kiislamu ni tv ya taifa ya msumbiji na mimi nilibahatika kuiona kutoka tv ya taifa ya Angola inaitwa Tpa1.

Sasa najua huna uwezo wa kuthibitisha hata nikikwambia nipe screenshot ya hao wamarekani utaleta vi-habari vya juzi kutoka kwenye personal accounts!

Nilikutajia kile kijiji kilichopo nyuma ya Kaserya ambacho kina Waislamu wengi sanaa kiasi muda wa sala hupati hata Soda 😂.

Masalafi wakienda pale wakawaambia wapambanie dini wafanye jihad na silaha hizi hapa, fedha hizi hapa na zingine wachangishane wao kwa wao na misimamo yenu ya kuturuku ada unaijua watashindwa?

Wale wa Kibiti uliwahi kujiuliza uwezo wa kulishinda jeshi la Polisi waliutoa wapi?

Tatizo nikitaka uthibitisho hutaweza kunipa kwamba walimpa zile fedha kwa ajili ya kufanya ubaya fulani HUWEZI!

Kwa hiyo Tanzania haichimbi gesi?
Hivi itakuwaje nikikwambia gesi ya Mtwara si yetu na hatuna mamlaka nayo na uthibitisho nikakupa kutoka kwa clip ya Rais Magufuli?
Poa, Naona Uko ki ligi zaidi, na mimi utanithibitishia vipi kama umeona hizo habari kutoka katika hizo TV za kimataifa ulizozitaja?

Hapo Chini ni moja ya hizo habari za Islamic state katika nchi ya Msumbiji

Screenshot_20200814-093555.png
 
Naungana mkono nawe unaposema, jeshi la Msumbiji lina mamluki.
Ni kweli kabisa, jeshi la msumbiji limeunganishwaga na makundi ya waasi akina Lenamo, miaka hiyoooo
 
Kumteka Muislamu afanye upumbavu ni rahisi kuliko kumteka Mkristo umewahi kujiuliza kwanini?

Kabla sijaendelea thibitisha CIA na Osama Bin Laden walianzisha IS nasubiri.
Uthibitisho ingia Google utapa kila Kitu..
CIA walimtengeneza Osama ili wamuondoe Mrusi Afghanistan

CIA wamemtengeneza Al Baghadad na Islamic state ili kusiwee na amani Middle East,Je unajua kiongozi wa Islamic STATE alikuwa Nani?

Any Bake Al Baghadadi alikuwa Yahudi aliejifanya Mwarabu

Screenshot_20200814-100841.png
Screenshot_20200814-100819.png
 
JF haiwezi kuwa chanzo cha habari za kimataifa kwa sababu wanaoleta hizi habari ni watu tu anaperuzi huku na kule akiona analeta.

Sehemu ya kwanza kuripoti hizi habari za ugaidi wa makundi ya Kiislamu ni tv ya taifa ya msumbiji na mimi nilibahatika kuiona kutoka tv ya taifa ya Angola inaitwa Tpa1.

Sasa najua huna uwezo wa kuthibitisha hata nikikwambia nipe screenshot ya hao wamarekani utaleta vi-habari vya juzi kutoka kwenye personal accounts!

Nilikutajia kile kijiji kilichopo nyuma ya Kaserya ambacho kina Waislamu wengi sanaa kiasi muda wa sala hupati hata Soda 😂.

Masalafi wakienda pale wakawaambia wapambanie dini wafanye jihad na silaha hizi hapa, fedha hizi hapa na zingine wachangishane wao kwa wao na misimamo yenu ya kuturuku ada unaijua watashindwa?

Wale wa Kibiti uliwahi kujiuliza uwezo wa kulishinda jeshi la Polisi waliutoa wapi?

Tatizo nikitaka uthibitisho hutaweza kunipa kwamba walimpa zile fedha kwa ajili ya kufanya ubaya fulani HUWEZI!

Kwa hiyo Tanzania haichimbi gesi?
Hivi itakuwaje nikikwambia gesi ya Mtwara si yetu na hatuna mamlaka nayo na uthibitisho nikakupa kutoka kwa clip ya Rais Magufuli?

Umeishiwa hoja sasa, unaona avatar yangu ni ya kiume kabisa and you damn call me your sis?

Aisee you better stay out of huu mjadala kama mihemko ya imani yako imeanza kukupanda.

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana ili uonekane mjuaji lakini ww ni zero kichwani na hauna uwelewa wowote katika siasa za dunia, au unajitoa ufahamu makusudi ili tu utimize lile ulilo kusudia kwa chuki zako.

Kama nilivyo kwambia tangu mwanzo chuki huwa ni upumbavu ,ukitaka kujadili mada kama hizi kwanza kiweke kichwa chako huru na upumbavu wa chuki.

Umekomaa na masalafi lakini nimekuuliza hao masarafi wanapata wapi fedha na silaha za kufanya mambo makubwa kama haya tunayo yashuhudia bado hujajibu zaidi kuruka ruka tu.

Kona coment moja nimeona ukisema waislam ni hatari kuishi nao nikakuuliza ujawahi kuwa na rafiki mwislam?,hujawahi kufanya biashara na muislam?,hauna jirani muislam kama unaye alisha kuharibia nn?,wewe kwenye harakati zako za kutafuta elimu haujawahi kufundishwa na muislam, je alisha kufundisha ugaidi ?

Je watoto wako hawasomi kwenye shule ambazo pia watoto wa waislam wanasoma? Ulishawahi kuletewa kesi ya mtoto wako kudhuriwa na mtoto wa kiisilam?

wewe unapo katiza mitaani haupishani na waislam je walisha kudhuru? Sasa hapo waislam wanakuwaje watu hatari?
Mkuu acha chuki.
 
Yes, ndio lengo mama la waislamu duniani kote.
Nikikuuliza lolote kuhusu dini ulaya utaniambia Makanisa yanabadilika na kuwa Misikiti, wazungu wengi hawana interest na Kusali tena na blah blah zingine na mwisho wako utasema so soon Ulaya itakuwa ya kiislamu!

Hili ndio lengo mama la hiyo imani kuhakikisha inaitawala dunia na Quran imetoa njia kabisa za kutekeleza hayo! Na hili wala si jambo geni ameanza nalo mtume wenu miaka 1400 iliyopita!

Kwa kumalizia nafahamu kuwa Msumbiji ina wanajeshi wake Somalia na hili ni tatizo.
Ingekuwa ni hivyo mkuu basi tusingeona hivi vikundi vya kigaidi huko Arabuni ambako ndio kuna uislamu wenyewe,huko Arabuni teyari uislamu upo ila bado hivyo vikundi vipo na wanauwana wenyewe kwa wenyewe.

Ingekuwa wanachokifanya hawa magaidi ndio kueneza uislamu basi hadi sasa tungekuwa tushaona hayo matunda maana washauwa sana watu.
 
Waislamu mnakazi kubwa ya kujisafisha,hao ngurue pori wanajichificha chini ya uislam hakika wabaki uko uko hatutawaongelesha ila wakija nitaonja damu yao kama inasukari au chumvi,
 
Ugomvi wao waachie wao. Unasema waombe msaada kwa nchi jirani tukipeleka askari wetu sasa waseme tunaanza na Tanzania...

Unafikiri itakuwa kazi nyepesi kuwazuia???
Wewe ndiyo type ya jirani ambaye unasikia jirani yako kavamiwa na hutoki kutoa msaada kisa hawapo kwako, siku yakikukuta ndiyo utaujua uchungu
 
Jeshii anzeni kusogeza vifaru jet fighting na zana za kiviti raia wakakamavu hii show haiwahusu kaeni kwenye vituo vyenu mtulie msije mkala mirungula mkawa mainformer wa majamaa nyie kaeni tu mtaani tugombanie mademu
Hii siyo vita mkuu,hao unao wadharau watakuwepo pia 'inner cordon'.
 
Back
Top Bottom