Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

Inamaana hawa mabwege kuchukua bandari na kua karibu na tz...nafkiri main goal ni huku kwetu..na bandari ni strategic area ili kupata vifaa na war supplies kwa muda muafaka....na kujiita sijui alshabab Naona ni chaka la kujifichia ili wakristo na waisilamu watengane,....halafu ndo wakinukishe...huu mtego wa kutenganishwa ili tuingiliwe tuwe nao makini....na Naona intelligence yetu imetimia maana maangalizo yalitoka mapema uko mpakani..hivo wapumbavu hawa wakija wapigwe tu........na kiongozi yeyote msaliti anaetumiwa na hao wa nje ili kuleta vurugu nchini kuliwa kichwa ni halali.
👍👍
 
Ndugu nashukuru kwa comments zako lakin nina wasiwasi sana kuhusu uelewa wako na geopolitics ya dunia na Inaegemea na kulenga upande gani. Ungesoma kitabu cha prof Samir Amin "Muslim Fundamentalists at the Work of Imperialism" ungeelewa nini kinachoendelea. Mm ni mkristu na nina ndugu waislam hatuna ugomvi wa kiimani. So Hakuna cha kutetea dini wala nn lakin ni badhi ya waganga njaa wanatumiwa na Western governments ambazo zinaendeshwa na ma kampuni makubwa just to get access to cheap or free natural resources. So kwa sababu wanajua wakimtumia sheikh uchwara/mganga njaa akiongea vijana wa kiislam wataangukia kwenye huo mtego kirahisi kuliko mchungaji au askofu na kwenda kupigana wakidhani wanapigania dini kumbe maslahi ya wakubwa wa magharibi.
😂😂😂👍
 
Mkuu,Nusu ya population ya Msumbiji ni Wakristo,Sasa hao ISIS wanaokwenda kupigania au kumpa hamasa Nani huko? .
Sio nusu ni zaidi ya robo tatu ila kuna maeneo ambayo ni ya kimasikini sana ambayo yana waislamu wengi na ndiko shida ilipoanzia!

Na sababu ya hii shida kuwepo Kenya na Msumbiji unaifahamu usijifanyie uzibe.
Marekani hawezi angaika na vijirasimali vya Msumbiji aiache Angola au Tanzania.

Hizi taarifa zilianzwa kutangazwa na kusambazwa na Wamarekani,na ndio hao hao Wamarekani ndio wanaonawapa uwezo hao ISIS

Tafakari..
Unaweza kuthibitisha watu wa kwanza kuripoti hizi habari ni Wamarekani?

Na unaweza kuthibitisha marekani ndio wana fund hawa magaidi wa kiislamu?
Na je wanataka nini Msumbiji hao wamarekani ambacho ni cha maana na Tanzania hakipo?
 
chabuso kuna kijiji kipo mkoa wa singida mwanzoni tu nimekisahau jina nikikikumbuka nitakitaja ila ni nyuma ya Kaserya aisee pale Wakristo unahesabu!

Maendeleo yaliyopo sasa unaanguka unakufa ni kubaya hujawahi shuhudia, sasa pale ni rahisi masalafi kupateka si wana fedha.
 
Watu wanaopenda vurugu lugha wanayoelewa ni ya vurugu tu. Tangaza hali ya hatari, anayejijua ni raia aondoke, atakayebaki halali ya serikali.
 
Na hapo ndio wenzenu wanapowachezea akili

Mataifa makubwa yanayo tawala huu ulimwengu yana tumia tofauti zenu za kiimani .kiitikadi .kikabila . kielimu .etc kutuchonganisha wenyewe kwa wenyewe.

Kwa kuyatumia makundi ya magaidi ambayo hupachikwa mwamvuli wa kiimani ili makundi hayo yaonekane kuwa yanalenga kutetea dini fulani ..kumbe nyuma ya pazia utakuta kuna mkono wa USA .FRANCE .ENGLAND .RUSSIA .au Turkey ili watugombanishe halagu wao wachote rasilimali za waafrica.. Yatupasa tuamke aisee tu think nje ya box na kutegua hii mitego ya kipumbavu tunayo tegewa
Achana na story za Shigongo basi?
 
Sio nusu ni zaidi ya robo tatu ila kuna maeneo ambayo ni ya kimasikini sana ambayo yana waislamu wengi na ndiko shida ilipoanzia!

Na sababu ya hii shida kuwepo Kenya na Msumbiji unaifahamu usijifanyie uzibe
Marekani hawezi angaika na vijirasimali vya Msumbiji aiache Angola au Tanzania.

Unaweza kuthibitisha watu wa kwanza kuripoti hizi habari ni Wamarekani?

Na unaweza kuthibitisha marekani ndio wana fund hawa magaidi wa kiislamu?
Na je wanataka nini Msumbiji hao wamarekani ambacho ni cha maana na Tanzania hakipo?
Mkuu, Mimi hizi habari nimezisoma katika mitandao,Wamerekani wakitoa onyo kuhusu kuwepo kwa kikundi kinachofadhiliwa na ISIS huko Msumbiji,Kabla hata hazijafika humu JF

Umesema Msumbiji Kuna watu wachache masikini ambao Ni Waislam,Sasa hizo silaha za kuweza kupigana na Jeshi la Msumbiji,uwezo wa kuteka Bandari wametoa Wapi?.

Angola,sijui Kama unamkumbuka SAVIMBI alikuwa anadhaminiwa na nani,Kama hukumbuki Basi Marekani ndie alikuwa mdhamini mkukbwa wa SAVIMBI, SAVIMBI alikuwa anaalikwa mpaka WHITE HOUSE..

Wewe subiri Tanzania ichimbe mafuta au Gesi,halafu mikataba ya kuchimba hiyo Gesi na mafuta tumpe Mchina, ndio utajua ISIS wanatokea wapi..

Wake up my sis
 
chabuso kuna kijiji kipo mkoa wa singida mwanzoni tu nimekisahau jina nikikikumbuka nitakitaja ila ni nyuma ya Kaserya aisee pale Wakristo unahesabu!

Maendeleo yaliyopo sasa unaanguka unakufa ni kubaya hujawahi shuhudia, sasa pale ni rahisi masalafi kupateka si wana fedha.
Hao watu hawafanyi kazi zao hivyo,hawa watu wanatafuta sehemu yenye Waislam wengi halafu ndio wanaanza kusambaza Idea zao..Mfano mzuri Nigeria,Somali, huwezi kuwahamasisha watu wachache wasio na uwezo kupigana na Serikali..

Kupigana na Dola kunatakiwa uwe na uwezo wa hali na mali pamoja na hamasa za watu

ISIS ni kikundi kilichoanzishwa na CIA,OSAMA hali kadhalika,hiyo iko wazi kila mtu anajua..
 
Mkuu, Mimi hizi habari nimezisoma katika mitandao,Wamerekani wakitoa onyo kuhusu kuwepo kwa kikundi kinachofadhiliwa na ISIS huko Msumbiji,Kabla hata hazijafika humu JF

Umesema Msumbiji Kuna watu wachache masikini ambao Ni Waislam,Sasa hizo silaha za kuweza kupigana na Jeshi la Msumbiji,uwezo wa kuteka Bandari wametoa Wapi?.

Angola,sijui Kama unamkumbuka SAVIMBI alikuwa anadhaminiwa na nani,Kama hukumbuki Basi Marekani ndie alikuwa mdhamini mkukbwa wa SAVIMBI, SAVIMBI alikuwa anaalikwa mpaka WHITE HOUSE..

Wewe subiri Tanzania ichimbe mafuta au Gesi,halafu mikataba ya kuchimba hiyo Gesi na mafuta tumpe Mchina, ndio utajua ISIS wanatokea wapi..

Wake up my sis
Uyo jamaa ana viashiria vya kimarekani!
Ana taka kuaminisha watu vitu ambavyo haviwezekani!
 
Ni vijana wasomi waliokosa ajira serikalin, sasa wamechoka kuumia mioyo na wanaipiga serikali
 
Mabeyoooooooo Umeipata Hiyo. Sehemu ya tiziiii kaweke mambo sawa itakuwa ni mabaki ya kibiti!! Sogea ntwara
 
Namm naswal moja nataka kuulia, kwann IS wanapigania uislam mashariki yakat wakat waislam huko ni asilimia 95 mpaka Mia Sasa niuslam upi huo wanaoupigania

ABUU MWASITI mtoto wamama
 
Aliyekudanganya kuna kipimo cha akili ni nani?

Unaweza kuthibitisha hawa wa msumbiji wana hivyo vitu?

Hizi taarifa wewe umezipata wapi na umejuaje kuwa wanalipana?
Kinachofahamika hadi sasa ni kwamba wale ni salafi na salafi unawajua kwa jihad!

Hizi habari umezipata wapi wewe?

Hujui sababu ya hawa jamaa kwenda msumbiji?

Ni maswali ya kijinga sana na tena si ya kijinga tu bali yana utoto ndani yake.

IS wa msumbiji wanafahamika kama Masalafi na masalafi wanafahamika katika kutekeleza jihad za namna hii, hawa si wajinga na lengo lao mama au kuu ni kuanzisha maeneo yenye utawala wa kiislamu.
Kibongo bongo ugumu wa maisha ndio kipimo cha akili

Kizungu zungu akili hupimwa mitihani + IQ TEST
 
Ukiangalia namna wabeberu wanavyohusishwa katika hili, (kutokana na michango ya watu humu) basi bila shaka naweza sema DIVIDE AND RULE is still existing.
 
Ni wale wale, na wangechekewa basi leo hali ingekuwa kama ya Msumbiji. Serikali inapo wadhibiti siasa kali kama wale Mashehe wa Uamsho wengi wanashindwa kuelewa kuwa vile ndiyo chanzo cha hii hatari na madhara yake ndio haya. Wale jamaa wana pesa na wanaweza mshawishi mtu yeyote kujiunga nao.

Tatizo la Msumbiji wao kwa wao hawaelewani, wana Ukabila, wana Waasi wa Renamo. Hawazungumzi lugha moja. Wanaishi kiujima ujima, hawana mahusiano mazuri na majirani zao. Ni wabinafsi na wanajiona sana na wanajifanya ni Wareno. Wanawadharau raia wa nchi nyingine hasa Waafrika wenzao. Nk.

Wacha wajifunze kuheshimu majirani.

Kama hao Magaidi watapenyeza huku TZ tunaomba Serikali itangaze kujitolea kupigana nao, huku mtaani tuko mgambo wengi sana sana, na tuna hamu ya kuwashikisha Adabu hao vibaraka.

Tuta watwanga hata kwa marungu. Kama Bunduki tutazinunua wenyewe.
Usiwe na shaka....walichokipata mkuranga na kibit hawajasahau.maana wali beep wabongo wakapiga kwel.unambiwa wabongo walienda kama wanaenda vita kagera.had na vifaru
 
Sio nusu ni zaidi ya robo tatu ila kuna maeneo ambayo ni ya kimasikini sana ambayo yana waislamu wengi na ndiko shida ilipoanzia!

Na sababu ya hii shida kuwepo Kenya na Msumbiji unaifahamu usijifanyie uzibe.
Marekani hawezi angaika na vijirasimali vya Msumbiji aiache Angola au Tanzania.

Unaweza kuthibitisha watu wa kwanza kuripoti hizi habari ni Wamarekani?

Na unaweza kuthibitisha marekani ndio wana fund hawa magaidi wa kiislamu?
Na je wanataka nini Msumbiji hao wamarekani ambacho ni cha maana na Tanzania hakipo?
Kwahiyo wewe unaamini wanafanya huo ugaidi la lengo la kusimamisha dola ya kiislamu?
 
Back
Top Bottom