Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni wasanii wakubwa Duniani, mbona wasanii wengine hususani kutoka Marekani hawafanyi hivi vitu tuseme kwa Afrika views nyingi ni deal sana.
Nawasilisha
Nawasilisha