Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Leejay49

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
19,295
Reaction score
60,915
Yaani kwenye huu huu ulimwengu ambao social media zinawaharibu wazazi ,. Na wazazi nao wanawaharibu watoto lakini kuna ambao hawajashindwa kabisa suala la malezi,.

Huwa nafatiliaga videos za shuhuda za huyu mama anajiita Minister mocky. Almost watoto wote wanaotoaga ushuhuda wako very smart and wise yaani hadi huwa natamani niwafahamu wazazi wao nijifunze mawili matatu☺☺
 
Afadhali 😀
Screenshot_20250423-182340_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom