RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,523
- 135,620
Baba sio ndugu yako?
Baba ni mzazi wako. Huo msemo ni specific kwa ndugu. Sio kwa watoto . Watoto kumtegemea baba kiuchumi ni wajibu wa baba.We umekariri hujataka kuelewa, unasubiri baba akuite ndugu ndo ujue ni ndugu yako