Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Hii sehemu inabidi wachunguzwe kama wana lipa kodi. Sijui kama tra wanawajua.Pepsi ya chupa 4,500. Lazima ifike. Mshikaki mmoja 9,000?
Hii sehemu inabidi wachunguzwe kama wana lipa kodi. Sijui kama tra wanawajua.Pepsi ya chupa 4,500. Lazima ifike. Mshikaki mmoja 9,000?
10k usd??? sio kweli 10K usd ni sawa na na milioni 26M hiyo pesa hapo milioni tatu na laki tisa ni sawa na 1600 usd. Acha kupotosha!Unalinganisha US na TZ....
Hiyo pesa kiTZ ni nyingi sana.
Ki-US hiyo pesa sawa na dola 10k....
Watu wa nyamadoke mnashidaChips Potato ndio nini.
Acheni kamba zenu.
Shwaiin.
Good point!Hii sehemu inabidi wachunguzwe kama wana lipa kodi. Sijui kama tra wanawajua.
Baada ya kuvunja kikobaInaonekana huyo mteja hakuwa peke yake, walikuwa kampani ya watu 6/7 hivi ukiangalia vyakula walivyoagiza
Kwa hiyo bill wakigawana kulipa, roughly kila mmoja atalipia 563,400 hivi
Siku hizi Wanawake wengi wanafanya sana mitoko ya pamoja na marafiki
Wanaagiza vyakula+Vinywaji n.k Kwa bill ya kuchangia donations
Na wewe acha njaaNimetoa FB tena ya mwezi huu tarehe za mwishoni aisee wakuu si mnisaidie hela ya mlo mmoja tu usiku 😳
View attachment 3482005
Bro hold my beer😂Nimetoa FB tena ya mwezi huu tarehe za mwishoni aisee wakuu si mnisaidie hela ya mlo mmoja tu usiku
Hapa ume chemka Usd 10k = $10,000Unalinganisha US na TZ....
Hiyo pesa kiTZ ni nyingi sana.
Ki-US hiyo pesa sawa na dola 10k....
Hao officers wa mamlaka tuna shinda nao hapo kuvizia watoto wazuri ndo uulize kama Wana pajua Mzee!?Hii sehemu inabidi wachunguzwe kama wana lipa kodi. Sijui kama tra wanawajua.
BJ - kwa MromBOOBro hold my beer😂View attachment 3482174
BLOWJOB 12 😛??Bro hold my beer😂View attachment 3482174
a mzima hawajaona mjini ni kaz kaz...ikitokea siku moja akafanya anachotaka ni kosa?Nimetoa FB tena ya mwezi huu tarehe za mwishoni aisee wakuu si mnisaidie hela ya mlo mmoja tu usiku 😳
View attachment 3482005
Blowjob ni nini hapo? Mtutoage ushamba watu wa huku Mtwango.Bro hold my beer😂View attachment 3482174
Ni cocktail mpwaBlowjob ni nini hapo? Mtutoage ushamba watu wa huku Mtwango.
Hakika, wengi wanafanya baada ya kuvunja vikoba vyaoBaada ya kuvunja kikoba
Wewe nae unaleta hoja za samia eti deni la taifa ni dogo sema tu likitajwa kwa shilingi linaonekana ni kubwa. $1000 sio hela ndogo hata kidogo jana, leo hata keshoHela ya kawaida tu sema pesa ya Tanzania haina thamani.
Hiyo pesa haijafika hata US $1,500.
Weekend iliyopita tumeenda dinner ya familia bill imepita kidogo kama $ 1,000 na kalipa mtu mmoja tu.
Mtu wa kawaida tu wala si wa mashauzi.
Hajapiga picha wala ku post kwa sababu we do this regularly.
Wewe nae unaleta hoja za samia eti deni la taifa ni dogo sema tu likitajwa kwa shilingi linaonekana ni kubwa. $1000 sio hela ndogo hata kidogo jana, leo hata kesho
Sawa, ila bill iliyopostiwa hapa ya zaidi ya tsh 3m ni pesa nyingi sana. Uibadilishe kwa sarafu yoyote bado ni pesa nyingi. Kwa Tanzania wanaoingiza pesa hiyo kwa mwezi hawawezi kufika hata 30% ya population.Strawaman argument logical fallacy mimi sijaongelea deni la taifa.
Hela kubwa au ndogo inategemea muktadha, uwezo.
Kuna mtu alinipa zawadi noti ya shilingi 1000, kama kunikumbusha Tanzania. Nikamuonesha Mmarekani mmoja, sasa yeye kuona ile 1000 akafikiri ni hela kubwa sana. Nukamuuliza unajua thamani yake hii, it is less than fifty US cents.
Hela ya Tanzania haina thamani. Huelewi wapi?