Kuna watu Wana pesa cheki bill hiyo!

Kuna watu Wana pesa cheki bill hiyo!

Unalinganisha US na TZ....

Hiyo pesa kiTZ ni nyingi sana.

Ki-US hiyo pesa sawa na dola 10k....
Hata Tanzania kuna mtu wangu wa karibu hapa anatoa sadaka shilingi milioni 100 kujenga kanisa, kimyakimya, bila makeke.

Halafu ukimuangalia mtu mwenyewe kuanzia Vitara anayoendesha mpaka anavyovaa utamdharau.
 
Hela ya kawaida tu sema pesa ya Tanzania haina thamani.

Hiyo pesa haijafika hata US $1,500.

Weekend iliyopita tumeenda dinner ya familia bill imepita kidogo kama $ 1,000 na kalipa mtu mmoja tu.

Mtu wa kawaida tu wala si wa mashauzi.

Hajapiga picha wala ku post kwa sababu we do this regularly.
Huku hali ngumu. Hiyo bili ni kama pato la wastani la mtz kwa mwaka. Ni kama mtu wa US atumie labda milioni 200 za bongo kwa mtoko mmoja.
 
Toka asbh na mapema ukiwa na mwenzako ndani mvae nguo za kike kuanzia chupi na sidiria juu halafu uvae nguo za kawaida juu
Ila chini vaa chupi ya kike juu ya bukta yako
Nendeni mtaani jifanyeni kama mnapigana halafu baadae mmoja avue akijifanya anataka apigane na mwenzake
Watu wana stress sana mtaani watawarushia jero na mia mbili
Jioni mtakuwa mmefunga hesabu nzuri
 
Huku hali ngumu. Hiyo bili ni kama pato la wastani la mtz kwa mwaka. Ni kama mtu wa US atumie labda milioni 200 za bongo kwa mtoko mmoja.
Sawa lakini kuna levels usifikiri kila mtu anaishi level yako.

Juzi nilikuwa naongea na mdogo wangu mmoja analalamika ana pesa ndogo sana kwenye hizo funds za UTT sijui mnaita, hizo za kuweka na kupata around 10% - 15% kwa mwaka.

Anasema ana kama shilingi milioni 300 tu, pesa ndogo sana akijilinganisha na wenzake.

Hapo kwa return ya 10% -15% anakwenda na return ya shilingi milioni 30 mpaka 45 kwa mwaka. Na hizo ni pesa ambazo kaziacha huko maisha yake hayazitegemei.

Baada ya miaka 6 zinakuwa zaidi ya double.

Sasa huyo katika ligi yao ndiye anajiona yeye hana pesa.

Anasema kuna Wakinga wanapesa kama masanduku ya BOT.
 
Hela ya kawaida tu sema pesa ya Tanzania haina thamani.

Hiyo pesa haijafika hata US $1,500.

Weekend iliyopita tumeenda dinner ya familia bill imepita kidogo kama $ 1,000 na kalipa mtu mmoja tu.

Mtu wa kawaida tu wala si wa mashauzi.

Hajapiga picha wala ku post kwa sababu we do this regularly.
Halafu real spenders huwa hawana haya mavurugu, wapambe ndiyo wapiga mapicha ili waka vimbie wenzao.
 
Sawa lakini kuna levels usifikiri kila mtu anaishi level yako.

Juzi nilikuwa naongea na mdogo wangu mmoja analalamika ana pesa ndogo sana kwenye hizo funds za UTT sijui mnaita, hizo za kuweka na kupata around 10% - 15% kwa mwaka.

Anasema ana kama shilingi milioni 300 tu, pesa ndogo sana akijilinganisha na wenzake.

Hapo kwa return ya 10% -15% anakwenda na return ya shilingi milioni 30 mpaka 45 kwa mwaka. Na hizo ni pesa ambazo kaziacha huko maisha yake hayazitegemei.

Baada ya miaka 6 zinakuwa zaidi ya double.

Sasa huyo katika ligi yao ndiye anajiona yeye hana pesa.

Anasema kuna Wakinga wanapesa kama masanduku ya BOT.
Levels.
 
Kwa TZ tena Kwa Hali na mazingira ya asilimia kubwa wanapotokea hiyo ni pesa nyingi Sana Kwa usiku mmoja lazima ushangae, Kila kitu kina level. Wapo wanaoona hata ukispend elfu kumi Kwa mlo mmoja Tu wewe ni tajiri. Haya mambo ni levels Tu.
 
Nimetoa FB tena ya mwezi huu tarehe za mwishoni aisee wakuu si mnisaidie hela ya mlo mmoja tu usiku 😳

View attachment 3482005
Hiyo tab ya masaa 7 na inaelekea ni party au get together iliyosimamiwa na mtu mmoja. Kwa Dar mimi sitoshangaa na hasa kwa madem. Maana hata uswahilini hiyo tab kama ni ya birthday mtu mmoja anasimamia sema group litakuwa kubwa.
 
Kwa TZ tena Kwa Hali na mazingira ya asilimia kubwa wanapotokea hiyo ni pesa nyingi Sana Kwa usiku mmoja lazima ushangae, Kila kitu kina level. Wapo wanaoona hata ukispend elfu kumi Kwa mlo mmoja Tu wewe ni tajiri. Haya mambo ni levels Tu.
Yes, kwa Tanzania hiyo ni hela kubwa sana.

Na yawezekana huyo aliyetumia hicho kiasi [kama risiti ni ya ukweli], hizo pesa alizonazo si halali.
 
Ngoja na mimi nikutumie risiti yangu ya malipo ili unisaidie kupiga promo ya kunasa watoto wazuri.
 
Back
Top Bottom