Kuna watu Wana pesa cheki bill hiyo!

Kuna watu Wana pesa cheki bill hiyo!

Sawa, ila bill iliyopostiwa hapa ya zaidi ya tsh 3m ni pesa nyingi sana. Uibadilishe kwa sarafu yoyote bado ni pesa nyingi. Kwa Tanzania wanaoingiza pesa hiyo kwa mwezi hawawezi kufika hata 30% ya population.
Mkuu,

Juzijuzi hapa kuna dogo namjua kanililia anahitaji dola 2,000, vyuma vimebana, kuna mambo anataka kufanya, nimemtumia.

Hiyo si kunywa wala kula mimi.

Nimemtumia tu. Dogo namjua tu projects zake nimezielewa, wala si ndugu yangu.

Usiseme hela kubwa, sema hela kubwa kwako.
 
Mkuu,

Juzijuzi hapa kuna dogo namjua kanililia anahitaji dola 2,000, vyuma vimebana, kuna mambo anataka kufanya, nimemtumia.

Hiyo si kunywa wala kula mimi.

Nimemtumia tu. Dogo namjua tu projects zake ninezielewa, wala si ndugu yangu.

Usiseme hela kubwa, sema hela kubwa kwako.
Hilo nakubali, ukubwa au udogo ni relative. umeona huyo dogo hiyo $2000 inaenda kumsogeza na kumkwamua kwenye mishe zake wakati wewe imekuwa ni kiasi kidogo tu cha kumsaidia. Sasa zaidi ya asilimia 70 ya watz hiyo 2000 ni ndoto kuishika kwa mkupuo na ndio maana nasema ni kiasi kikubwa sana hicho na ni mtaji mzuri tu na mtu anavimba nacho kitaa.
 
Tena ukiwakuta wale wanaojiita ma BFF age go mishangazi ya kwenda ni balaa.
Nahisi ndiyo kama huyo aliyeshika risiti

Kwa rangi ya ngozi yake na zile kucha alivyoshika ile risiti, lazima atakuwa Mshangazi tu 🙌

Mabinti Vijana hawawezi kutumia kiasi kingi vile cha Pesa Kwa kuwa wengi ndiyo wapo kujitafuta
 
Back
Top Bottom