Hiyo video ipoje..
Dah! Maisha haya ni mafupi sana aisee.
Dakika 0 tu tunaweza kukusahau
Usiifungue inatisha kama una roho nyepesiHiyo video ipoje..
Mungu Atunusuru aiseeDaah! Nawaza tu tungekuwa na uwezo wa kujua yajayo mbele.
Hakika Ses! japo wanasema "hujafa hujaumbika"Mungu Atunusuru aisee
Kabisa Shadeeya mwanaadamu hujui kitakachokutokea sekunde mija ijayoHakika Ses! japo wanasema "hujafa hujaumbika"