Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,489
- 21,960
Wadada naomba mlishike hili, hakunaga mimba za bahati mbaya ama ajali.
Biblia inasema Mungu alituumba kwa namna ya ajabu sana. Katika uumbaji huo alilenga kuzaana na kuongezeka ili kuijaza dunia. Sasa basi tendo la ngono liliasisiwa na Mungu mwenyewe kwa lengo la kuzaana.
Kuna mabinti wajinga wajinga hivi hudhani kuwa ngono ni starehe tu hivyo wakiwashwa kidogo wanawaka, wakiguswa tu mimba inaitika halafu wanasingizia kuwa ni bahati mbaya.
Hakuna mimba ya bahati mbaya hapo.
Ni kawaida kwa wanawake wengi wakiwa ovulation hamu ya kufanya ngono kuongezeka. Ovulation ni wakati wanawake wana rutuba zaidi na wana uwezekano mkubwa wa kushika mimba. Ni njia iliyofanywa na Mungu mwenyewe ya asili ya kugeuza mwili wa mwanamke ili kuongeza nafasi za kuzaa. Anapokutana kingono na mwanaume kwa kipindi hicho mimba inaitika, hakuna cha mimba ya bahati mbaya hapo ataibeba kihalali kabisa, ndivyo Mungu alivyotuumba.
Vivyo hivyo kwa wanyama hakunaga cha mimba za bahati mbaya.
Ikiwa haupo katika mahusiano ya ndoa na hauna mpango wa kuzaa nje ya mahusiano hayo tafadhali dhibiti nyege zako kwa kufanya mazoezi ya mwili. Hii ni njia mojawapo ya kupunguza mvutano wa kijinsia katika mwili wako.
Njia nyingine ya ubunifu kudhibiti nyege ni kutumia shauku yako katika hobby au shughuli ya kujitolea. Kumbuka akili isiyofanya kazi ni warsha ya shetani.
Ushike huu ukweli kwamba ukipewa mimba nje ya mahusiano ya ndoa itakuwa umeitaka mwenyewe, na wala usimsingizie shetani hapo .
Ubarikiwe.