nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,832
- 1,943
Sijui mkewe alitoa kitongoji kipi aisee! Hua nashangaa sana kwa hizi sarakasi zake na mchepuko harafu asijue duuh!mkeo anahasara kubwa....
kutwa kucha kuzurura na mchepuko, ina mana taarifa hapati????
au ndo yule tunaishi ili tulee watoto tu.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app