Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Samahani ndugu mtoa post kama utakwazika na maoni yangu lakini baada ya kupitia stori yako na stori zako za nyuma kuhusu huyu mchepuko wako.....nathibitisha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu.......na unapaswa kuitazama hili kwa makini kabla ya anguko lako......... niwie radhi ndugu mtoa post.......
Ni dhaifuu au mjinga?
 
.

Ukiwa na akili hata kidogo, story nying za huyu jamaa Ni kusadikika. Ingawa anajaribu kuzipa uhai wa uhalisia.

Hasa ambavyo anatuma na ushahidi wa majibizano ya simu (ambayo ni fake pia). (Anatumia Simu kitochi-mama jay- kutuma sms kwenda kwa smartphone).

Kuna Sehem mama Jay kaenda choon Mara mbili wakat hajamaliza Ile Savanna moja. We umeona Wap?.

Mama Jay anaishi mwenyewe Ila kila siku anamaliza mkate mmoja. Maana ndan ya siku 3(alhamisi, ijumaa na jumamosi) zinazofuatana Jamaa kaenda kwa mangi kununua mikate.

Kuagiza Amarura 4 kwa wakat mmoja, we umeona Wap.

Unaenda kwa mwanamke unaoga tu, unaacha Kodi ya meza.


Mama Jay huyu huyu ambae sikumbuk Kama nyuma alikuwa anakazi.
Maana kutwa nzima Ni kulewa na shosti ake. Mara kulipiwa Kodi. Mara anakataa elfu 5 ya chakula. Leo hii eti amekuwa supervisor anapewa aka process cheque ya mill 2 na anaenda nayo nyumban bila kuwatumia wenzake.


Anyway, jamaa ni mtunzi mzuri. Ana weza kuipa uhai story yoyote.


Evelyn Salt
 
Duh, halafu katika familia na ukoo wenu unaheshimika na kutoa ushauri halafu watu wakaufuata!!!!!!!!!!!! Yaani unaonekana bonge la kichwa yaani umejaaliwa akili nyingi!!!!!!!!!!!!!!!!! Halafu mtu mwenyewe.................

Nb: Ni chai kama chai.
 
Ma Jay angekua mchaga au mdada mwenye akili angekua amejenga au Ana businesses yake ya kueleweka tuu!!maana posho anapewa,analipiwa chumba plus mazaga mengine!
Yaani angejielewa angekua mbaa mnooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Usiache kutuletea yanayojiri huko Mr pond,mie nafurahia drama za mchepuko wako,tabia za ma j nausumbufu wake zinafurahisha, achana nawatakatifu wahumu wanaopondea huku kumbe Wana michepuko kila kituo.
 
Back
Top Bottom