Kuna watu mnakera hasa watanzania kwenye suala la mawasiliano

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,351
Reaction score
3,878
Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ?

Yaani watu hamuwezi kungumza bila sauti zenu kuhusika, ? Watanzania tujifunze kuheshimu haiba za kila mtu mimi binafsi napenda kuandika kuliko kuongea kwenye simu Hiyo ndio haiba yangu wewe kama unapenda kuongea basi heshimu mtu asiyependa kuongea na si kulazimishana na kupeana lawama za kipuuzi.

Watanzania wengine mkoje kwani?
 
Dawa yako wewe ni moja tu. Nakutumia sms, "nipigie kuna mchongo wa hela" tuone kama hautapiga. Kuweni flexible jamani! Kuna wale ndugu wa vijijini anakupigia tu kwa furaha, mpokelee dakika chache ukiona hana jipya, muombe udhuru "samahani kuna ishu nafanya ntakucheki badae"
 
Wana ujinga mwingi sana, mtu wanapiga mara 10.
Uko busy unamwambia smsa.
Ana piga tena ukipokea anaomba hela akalewe.
Shenzy type
 
Kuna mingine inapiga hadi saa saba za usiku, muda wa kulala muongee nini sasa kuna watu wanakera sana
 
Back
Top Bottom