moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kama Taifa la Tanzania linategemea vijana kama hawa basi Taifa linahitaji maombi makubwa sana tena shughuli zote zisimame mwenzi mzima tupige maombi tu
Umoja wa vijana CCM 'UVCCM' umewataka vyama na wabunge wa upinzani kuacha kuingilia suala la mkataba wa Lugumi kwani bado kamati ya bunge iliyoundwa ipo katika uchunguzi.
=====================
TAARIFA KWA UMMA
CHADEMA MAJI YA SHINGO, WAITUMIA BAVICHA KUJINASUA NA NGUVU ZA RAIS MAGUFULI, WALILOSEMA JANA LEO WAMELISAHAU, KESHO WANAJIPYA ILIMRADI WATOKE VIPI!!
Mfupa uliomshinda Fisi....
Kila mpenda ukweli atakubaliana na wakweli kuwa kasi ya Rais Magufuli inaendelea kuwachanganya viongozi wa vyama pinzani hasa wa UKAWA na hasa chama cha CHADEMA kiasi wanasahau ata maneno yao waliosema mwaka jana tu.
WAMEVURUGWA,WAKAVURUGIKA,WANAVURUGANA ILI WAVURUGE WENGINE .
Leo hatupo hapa kukumbuka ama kutaka mkumbuke kuwa mwaka jana walisema nini na leo wanasema nini, ama hatupo hapa kuwakumbusha kuwa ni mwaka jana tu MR LISU,LEMA NA MSIGWA walisema "mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kumuunga mkono LOWASSA",na wakapendekeza wote wanaomuunga mkono kiongozi huyo Wakapimwe akili, LA HASHA, hatupo hapa kwa nia hiyo kwani atawasemaji wa maneno hayo wameshasahau, linalowapa kiki leo halina maana kesho madhali tamaa ya kwenda Ikulu inafikiwa.
NDUGU ZANGU Tupo hapa leo kuwaeleza kuwa vijana wa Tanzania tunamuunga mkono Rais Magufuli, Mawaziri na Serikali kwa ujumla katika kuwaletea maendeleo Watanzania mara baada ya uchaguzi mkuu na kuwashauri waongeze kasi zaidi katika kushughulikia majipu nchi nzima.
Mr LISU aliesema mwaka jana kuwa "serikali ya CCM INALEA WATENDAJI WA OVYO NA UTARATIBU WA KUWASIMAMISHA KAZI AMA KUWASHUGHULIKIA UNACHUKUA MUDA MREFU SANA",LISU HUYU HUYU NDIO YULE YULE ANAELALAMIKA LEO KUWA SERIKALI YA CCM inawashughulikia sana watendaji wa bovu na bila kutaja majina ya watendaji walioonewa.
Mwaka jana ilikuwa ajenda mwaka huu si ajenda yao tena, bali ajenda ya LISU ni kutetea Mafisadi ili wapeleke pesa CHADEMA wakusanye nguvu za 2020.
vijana wamjini wanasema NDI NDI NDIIII...
ZAKUAMBIWA CHANGANYENI NA ZENU
wenye akili na wapenda kweli tulijua kuwa LISU atakuja tu kulalamikia utumbuaji majipu hasa baada ya yule kijana alieoa kwa mgombea wao wa Urais kubeba ndoo mpya mahabusu, ule msemo wa kuwa jipu linatamanisha kutumbuliwa likiwa kwenye mwili wa mwenzako ukatamalaki na viongozi wa CHADEMA bado wanahaa kutaka kuwanusuru walezi wao waliopo mahakamani kwa kisingizio kuwa majipu yanatumbuliwa sana.
Pamoja na wao kutoa malalamiko ya mara kwa mara juu ya majipu kutumbuliwa sana, kwao wanataka kumchagulia Rais majipu ya kutumbua na kuyaacha yale ambayo yanawanufaisha, wakati wanasema watu wanatumbuliwa bila utaratibu
Tayari wameshasahau hilo na jana nimeona vijana wanaodaiwa kutumika na wauza madawa ya kulevya kupitia BAVICHA wakitoa tamko eti wakimuonyesha Rais jipu la kutumbua na kutaka kutumia kigezo cha urafiki wa Rais na mtuhumiwa kama sababu za kuwa hawezi kuchukuliwa hatua ata ikithibitika kuwa ametenda kosa.
Hapa naona wazi kuwa CHADEMA bado hawajamjua Rais Magufuli na bado watashangaa sana.
< BAVICHA MNAPOSEMA MUWE MNATUMIA NA AKILI KIDOGO, ama mtembelee shule za msingi ili msaidiwe kujuwa Mkataba mnaousema wa jeshi la Polisi ulisainiwa mwaka 2011 waziri wa mambo ya ndani akiwa Shamsi Vuai na wala si Mh Nchimbi na Mh Chikawe kama mlivyopotosha.
Na wakati huo kamati ya bunge ya PAC iliongozwa na Mzee Cheyo na baadae Zitto Kabwe, wapinzani hamkuweza kuibua jambo hili hadi kamati ilipokuja kushikwa na Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini Mh Aeshi Hirary kwa dhamira ya wazi ya serikali ya CCM ya kutaka bunge liisimamie serikali, ndio tunawaona mnadandia treni kwa mbele kutaka umaarufu wa bure, jipangeni upya.
<Kuhusu sakata hili la Mkataba wa jeshi la polisi, bunge limeunda kamati na litaleta taarifa yake punde tu, papara za nini kutaka umaarufu usiona maana, serikali ya CCM ujifunza sana kutokana na makosa na kuwa mambo haya ya tuhuma hasa zikisha fika bungeni sharti yaende kwa utaratibu ili kuondoa chuki za siasa ambazo mara kwa mara zimekuwa zikionea watu hasa wale wasioweza kufika bungeni na kujitetea, iacheni kamati ifanye kazi yake itoe ushauri kwa serikali juu ya jambo hili na tunaimani kubwa na Rais Magufuli kuwa atatenda haki kwa maslahi ya nchi yetu.
<BAVICHA Haina ata chembe ya uwezo wa kumshinikiza Rais achague majipu ya kutumbua, waache mara moja kudanganya umma, kama kweli mnamuunga mkono Rais Magufuli kwenye utumbuaji majipu basi toeni tamko kuwa Mr SIOI SUMARI mkwe wa Lowasa afungwe mapema kwa tuhuma zinazomkabili yeye na wenzake,ama tuhuma zinazomkabili sio agenda ya BAVICHA kwa kuwa ni mwanachamama wenu?
ETI LEO LEMA ANAULIZA JUU YA UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI na kutaka kumuhusisha Rais bila aibu, LEO LEMA HUYU SI YULE ambae anaejua kuwa utaratibu wa kuuza nyumba za serikali ulisimamiwa na waziri mkuu Sumaye akiwa madarakani na Mh Sumaye alishakuja mara kadhaa kutetea uhuzaji wa nyumba za serikali, kwa kuwa mnatafuta nitoke vipi leo mmeshasahau, kama kunaufisadi kuuza nyumba za serikali basi ufisadi huo ulisimamiwa na Mzee Sumaye akiwa waziri mkuu, mngekuwa wasafi msinge mteua awe mjumbe wenu wa kamati kuu mtu aliesimamia ufisadi mnaoudai Kamati kuu yenu imejaa MAFISADI Papa.
Rais Magufuli hatumbui tu watu kwakuwa fulani kasema, anatumbua baada ya kupata ushahidi usio na shaka juu ya jipu husika kuwa linahasara zaidi kuliko faida kwa nchi yetu.
Bunge kama ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikali iweje leo kiunde kamati yake alafu Rais aingilie kabla kamati haijafanya kazi yake?
Mnataka Rais afanye hivyo ili mzidi kuteteta hoja yenu kuwa bunge linaendeshwa kibabe na Rais? Tafuteni njia nyingine Rais Magufuli hamuwezi kumnasa hivyo kirahisi.
Taarifa tulizonazo nikuwa ata tamko la jana la BAVICHA juu ya kutaka Rais Magufuli eti amuwajibishe Waziri ata kabla kamati ya bunge haijamaliza kazi yake limefadhiliwa na mtu ambae ni mtuhumiwa mkubwa wa madawa ya kulevya ambae Waziri Charles Kitwanga amezuia maliza zake na kukata mirija yake yote, vijana tuache kutumika tutaliangamiza Taifa.
BAVICHA NA CHADEMA wakiwa bado wanahaha kutafuta pakutokea hasa kwa kungangania hoja ya BUNGE LIVE kama tiketi yao ya kutokea kwani wanajua wabunge wao huwa hawafanyi maendeleo yeyote majimboni badala yake upenda kupata umaarufu wa kusema na wanajua kuwa kama hawatakuwa wanaonekana wakisema moja kwa moja itakuwa imekula kwao maana wanachi watawahukumu kwa shida zao majimboni,wakiona hilo linawashinda
mara wanahamishia hoja kwa tamko la Jaji Mkuu aliposema juu ya umuhimu wa sheria ya mitandao,wameshau LEMA ALITENGENEZEWA PICHA MWAKA JANA aliitaka sheria hii ije haraka,hizi ni akili za wapi zinasahau vitu haraka kiasi hiki???
VIJANA TUNASEMA WAZI tunamuunga mkono Jaji Mkuu kwa kauliyake kuwa
"kasi ya watanzania kutumia mitandao ya kijamii kupeana habari na katika miamala ya pesa ni kubwa zaidi kuliko nchi yeyote ya afrika ya mashariki hivyo lazima kuwa na sheria maalumu ya mitandao".
Tunamuomba Jaji Mkuu na mahakma kwa ujumla kuhakikisha kweli sheria hiyo inafanya kazi yake sawa sawa ili mitandao ya kijamii isije kugeuka bomu kwa nchi yetu na kupoteza heshima yetu kama Taifa.
MWISHO
TUNAMTAKA WAZIRI CHARLES KITWANGA KUENDELEA NA KASI YAKE YA KUSHUGHULIKIA WAFANYABIASHARA WA MADAWA YA KULEVYA huku akijua wanamuandama kwa mbinu nyingi mbalimbali ili kumkwamisha,achape kazi na sisi tupo nyuma yake TUTAMLINDA KATIKA VITA HIYO KWA MASLAHI YA VIJANA NA WATANZANIA WOTE.
Ni vizuri wapinzani mkatumia muda huu kushauri serikali mambo yatakayoliletea Taifa tija na Mtumieni Zito Kabwe kama mfano wenu na si ubabe wakususasusa mara kwa mara.Kumbukeni aliwashauri badilisheni mbinu,hiyo imepitwa na wakati.
Na ni vizuri pia mkakumbuka maneno ya mpinzani mwenzenu Prof Kitilya Mkumbo kuwa "upinzani wa kujijenga juu ya makosa ya CCM HAUNAFAIDA KWA NCHI,siku ambayo CCM itarekebisha makosa yake wapinzaani watatafta pakushika hawatapaona" siku ya kufa nyani miti yote uteleza NDIO HIVI SASA MMEANZA KUHAHA
Jengeni upinzani wa hoja mbadala kwa maslahi ya nchi
nchi yetu, hatuwezi kuwa nchi ya kufanya siasa kwa miaka mitano yote ata baada ya uchaguzi mkuu,tunawataka watanzania wafanye kazi kujiletea maendeleo, tunae Rais na Serikali,kama wengine kuchaguliwa ni hadi mwaka 2020.Watanzania wote tuendelee kumuunga mkono Rais Magufuli.
HAPA KAZI TU
Abubakar D. Asenga
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji,Sera,Utafiti na Mawasiliano UVCCM MAKAO MAKUU.
Simu 0627968722
EMAIL;uvccm1978@gmail.com