Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mama ameondoka hata hajaona mafanikio yangu, ameenda nikiwa mchanga sana kimaisha nilitamani siku moja awe mlezi wa wanangu pindi nipo kazini ila hakupata muda huo.
Nilimwambia mama nimepata mtoto kipindi nimeenda masomoni Arusha alifurahi sana ila hakupata nafasi ya kumwona wala kumshika mtoto wa kijana wake.
Inaniuma sana na nimetambua umuhimu wa mama baada ya kuona mji ulivyobadilika, jinsi mji ulivyojaa upweke mawazo kwa kila mmoja wetu.
Najua ni kazi ya MUNGU ila hakika nilitamani akupe maisha marefu hapa duniani ila kaamua sina uwezo wa kukurejesha kuna Muda naogopa kusema umefariki nikijua bado u hai ila baadae natambua kuwa ni kweli umefariki.
R.I.P Mama.