Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Angeondoka: the devil we know, anayeleta mateso kwa watu.
Scorpion wapi haoKwangu watu kama Scorpion wote walistahili kufa!!!
Ukivuta hali uliyoipitia siku ulipoondokewa nampendwa, utajiuliza, umeipata wapi hii nguvu ya kucheka leo? Mungu Mkubwa.... vinginevyo tungeshajiua wote humu ulimwenguni. Maisha ni bure kabisa.ktk kitu nilikua sitaki kuona ni kifo cha Mama yangu nilikua naomba Mungu anichukue mm kabla yake lkn ikawa tofauti, Mungu amlaze mahali pema peponi mama yangu namkumbuka na kumpenda siku zote za maisha yangu [emoji120]
nilikua najiuliza nitaishi vipi bila Mama lkn Mungu mkubwa mpk leo naishi na nina maisha yangu hakika Mungu ni mwema sana.
Natamani sana kumjua huyu jamaa "DEVIL" [emoji48]. Hivi ni mbaya kama tunavyohadithiwa, hapa namaanisha ana bad will tangu anaumbwa au alishindwa tu kufikiri sana, akadhani alivyofikiri ndo ubora zaidi kwa viumbe na maisha?Angeondoka: the devil we know, anayeleta mateso kwa watu.
acha tu mkuu Mungu ni Mwema sanaUkivuta hali uliyoipitia siku ulipoondokewa nampendwa, utajiuliza, umeipata wapi hii nguvu ya kucheka leo? Mungu Mkubwa.... vinginevyo tungeshajiua wote humu ulimwenguni. Maisha ni bure kabisa.
we kweli umevurugwa hata kama MTU humpendi siyo kwa kiwango cha kumuombea afe huko NI kuhukumu kumbuka huyo nae ni Baba wa watoto flan na Mme wa Mama flan Tumeagizwa Upendo Pole kwa kifo cha BABA yakoDuh mshana bana..bora angekufa pombe angebaki mdingi wangu...RIP DADY
[Color=blue[Mimi nasema tena kwa herufi kubwa ASIMFANANISHE MAMA NA VITU VYA KIJINGA[/Color]Kama baba akifika level za kukaa na ujauzito miezi 9, kutanua miguu na kuzaa, kulea kichanga - usiku na mchana bila kulala, kunyonyesha, na kuwa nguzo kuu kipindi chote basi naweza kumweka ligi 1 na mama. Kwa tukio 1 tu la kutafuta chakula baba siwezi mfananisha na mama hata chembe - wamama kibao ni watafutaji wazuri sana, tunawaona mitaani wanafungua vigenge, wanachoma vitumbua, wanafagia mabarabara, wanabeba hata zege.
Mama yupo kwenye ligi la kibabe la aina yake kabisa. Nihitimishe kwa kusema "usimfananishe mama na vitu vya kawaida kawaida".
Hahaaa haaaha ahsante sanaaa waje watoto wake wamsemee ila mie nataman apotee ulimwenguni [emoji35] [emoji35] [emoji35]we kweli umevurugwa hata kama MTU humpendi siyo kwa kiwango cha kumuombea afe huko NI kuhukumu kumbuka huyo nae ni Baba wa watoto flan na Mme wa Mama flan Tumeagizwa Upendo Pole kwa kifo cha BABA yako
Pole sana MUNGU ni mwema sana Mara zote anatujua kuliko sisi tunavyojijua, vipi Bastard na MOA wameshatoka Victoria base????ktk kitu nilikua sitaki kuona ni kifo cha Mama yangu nilikua naomba Mungu anichukue mm kabla yake lkn ikawa tofauti, Mungu amlaze mahali pema peponi mama yangu namkumbuka na kumpenda siku zote za maisha yangu [emoji120]
nilikua najiuliza nitaishi vipi bila Mama lkn Mungu mkubwa mpk leo naishi na nina maisha yangu hakika Mungu ni mwema sana.
😀 😀 😀Hahaaa haaaha ahsante sanaaa waje watoto wake wamsemee ila mie nataman apotee ulimwenguni [emoji35] [emoji35] [emoji35]
kweli kabisa Mungu anatujua kuliko sisi tunavyojijua, hahahhh hapo kwenye victoria base una utani na ibra ujue nilishasahau umenikumbusha mke wa raisi [emoji23]Pole sana MUNGU ni mwema sana Mara zote anatujua kuliko sisi tunavyojijua, vipi Bastard na MOA wameshatoka Victoria base????
Ibra katuacha kolomije haaaaa,haaaakweli kabisa Mungu anatujua kuliko sisi tunavyojijua, hahahhh hapo kwenye victoria base una utani na ibra ujue nilishasahau umenikumbusha mke wa raisi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katuanzishia nitakupata nayo sijui atatuacha wapiIbra katuacha kolomije haaaaa,haaaa