Kuna watu hatuna bahati

First things first my brother. Kwa sasa umesema afya yako iko vizuri, so wewe focus na shule kwanza ili ujihakikishie uwezo wa kujitibia baadaye. Kuhusu uwezo wa kupata na mtoto, muda wake utafika na solution itapatikana tu. Wanasema 'don't cross the bridge until you've come to it'. Usijinyanyapae. Be blessed man.
 
Pole sana mdogo wangu najua hali unayopitia ni ngumu sana ila inatakiwa umuombe na kumshukuru mungu japo kwa hiyo hali uliyonayo.

Kaa ukijua Binadamu wote wanamachungu na matatizo mengi yanawasumbua nafsi zao sio wewe tu mdogo wangu inabidi uwe strong tu.

You're special my bro believe me coz kila kitu kinatokea kwa mpango wa mungu na wewe ndiye mtu special uliyechaguliwa na mungu sababu wewe ni strong na unaweza kukabiliana na tatizo hilo bila kuteteleka, ambapo angepata mtu mwingine basi inawezekana asingeweza kukabiliana nalo na angekufa mara moja..

Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema..." You will never know how strong you're until being strong is the only choice you have"

Kuna movie moja niliiyona December mwaka jana inaitwa The Fault in our Stars...kisa chake ni kizuri kinaelezea jinsi ya kukabiliana na hisia za mapenzi unapokuwa una tatizo la kiafya..itafute inaweza kukupa mwanga..
 
thanks man,i appreciate that
 
men be blessed,umenifanya nihisi positively kwa hali nlokua nayo..thanks again
 
POLE.
This is jst a portion of live. Hupaswi kukata tamaa! Infact it should be a lesson learnt the hard way coz ulipoambiwa usichezee maisha, uliona unadaganywa. Now see the outcome?
La kufanya ni, there are alot of HERBAL clinics around East Africa. Unaweza kupata usaidizi. Kumbuka hauko peke yako. ALL IS NOT LOST.
 
Ingawa tupo wengi duniani lakini kila mmoja anakilio chake! yupo anayelilia viatu, yupo anayelilia apewe miguu atembee tu! Kifupi kila mmoja ana lake cha msingi uwe na mapokeo chanya pia uishi kwa iman yaan uwe unashiriki ibada! utayaona maisha ktk tumaini lingine and u will be happy again.
 
Tafuta mwanamke ambaye hawezi kuzaa na muadopt watoto muishi pamoja.
 
Pole sana mkuu. Mungu ni mwema muombe atakutimizia kulingana na mahitaji yako
 
Kati ya vitu vibaya dunia hii ni fear.Ukisharuhusu fear katika nyanja zote utakuwa useless.Fear hutokana na mambo yaliyopita au yajayo.Basi usifikirie uliyoambiwa au itakuwaje in the future.What you have to deal with is that of present moment.Hakuna kinachoshindikana chini ya jua.Chamsingi ni kushugulikia maisha yako ya sasa maisha ya baadae yatajipanga sawasawa na ulivyojipanga.Tatizo la akili ni kufanya a small problem big.Usipokuwa na skill ya maisha unapotea.Tafuta elimu juu ya vyakula itakusaidia zaidi.Ni pm kwa majadiriano zaidi.
 
Nakuomba usiogope mdogo wangu, ni kama wadau walivyosema hapo juu, maisha yanachangamoto ambazo ndio zinatufanya tuwepo hapa. Imagine kama wote hapa duniani tusingekuwa na changamoto hali ingekuwaje? Kwa hiyo wewe chukulia hiyo ni sehemu ya maisha na pia kazana sana ufanye vizuri kwenye masomo ili uweze kujihudumia vyema. Pia kama utakuwa na muda basi soma hiki kitabu nimewahi kukisoma wakati nilikuwa na stress na kilinifanya nikawa na mitazamo mipya kwenye maisha. Kitabu kinaitwa" Finding hope when life's not fair". Mwandishi anaitwa LEE EZELL.

Kaza buti maisha yaendelee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom