Pole na Matatizo unapokata tamaa kama hivyio ni kumkufuru Mungu hayo maelezo kakupa Dr. ambae ni binadamu kama wewe, kumbuka kuna Mungu hutoa pasipotegemewa......kwa kukata kwako tamaa ndo yatamia yale alosema dr...mana sasa shule ukiboronga jua ndo na maisha unayaharibu...tuliza akili soma kwanza, tafua ajira yako halafu anza matibubu...UMEAMBIWA HAYO MARADHI MTU HAPONI???? KAMA SPERM HAZINA NGUVU UMEAMBIWA HAKUNA DAWA ZA KUNYWA WALA SINDANO ZA KUCHOMWA UKAWA SAWA???.....SOMA, PATA KAZI NDO UANZE KUJITIBU UTAPONA NA UONGEZE MAOMBI KWA MUNGU WANGO...Na huna haja ya kumwambia rafiki wala ndugu watakustress baadae mana urafii wa sasa wengi magumashi, unaweza ukawa na msichana mzuri tu kabla hujamwambia jamaa kampenyezea umbea hata kabla hujajiandaa kumeleza mwenza wako, na hutajisikia raha kukuta jambo lako liko mitaani, kuepuka hayo ukijisikia kusema siri zako, ongea na mungu wangu wakati wa swala...MTOTO UTAPATA TU, KWA JUHUDI ZAKO NA KWA UWEZO WA MUNGU, Kama kuna masharti ulopewa na dr. yafatwe kikamilifu... utashangaa uko sawa baadae.