Kuna watu hatuna bahati

Kuna watu hatuna bahati

...Jaribu kufata ushaur wa Dr.next time...ili usije pata tatzo jipya! focus kwa masomo zaidi...kila jambo na sababu...huwez jua Mungu kakuepushia nini upande wa pili wa shilingi...!! mayb angekupa uwezo wa kuzaaa...ungekuja zaaa visirani...!! pia maisha ni zaid ya ndoa na watoto
 
al-baajun

Pole mdogo wangu... ila kuna maisha mengine zaidi ya kujazaa japo kiuhalisia inauma ila sasa zngatia afya yako kwanza ndio mpango mzima mengineyo Mungu atajua namna ya kukuvusha. Pole sana mydia!
 
Last edited by a moderator:
Pole mdogo wangu... ila kuna maisha mengine zaidi ya kujazaa japo kiuhalisia inauma ila sasa zngatia afya yako kwanza ndio mpango mzima mengineyo Mungu atajua namna ya kukuvusha. Pole sana mydia!

asante sana,na sasa iv nipo makini sana na afya yangu maana bado mdogo sana,kama hapo juu mdau alivosema na mimi naamini mungu kuna sababu yake kunifanya hivi
 
Mungu akuangazie nuru katika giza ulionalo, lakini jua katika jambo lisilowekana kwa mwanadamu kwa Mungu lawekana, jua pia Mungu ndie mratibu wa maisha yetu kwamba nani awe nani na weje ni juu yake hivyo yaache mapenzi yake tatimizwe, Tubu sali sana na endelea na maisha na mipango yako kama hakuna chochote kilicho kutokea, kila la heri mr.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
dah nashukuru sana,ntamuachia kila kitu mungu
 
Njoo kwa gwajima jumatam ndo siku ya maombezi na kufunguliwa
 
Pole sana kijana.tuliza akili utapona.tambua maisha sio viungo vya uzazi,no zaidi ya hapo.wapo wagumba wengi na wanaendelea na maisha kama kawaida.mtangulize Mungu katika hill jambo unalopita nalo Naye atakusaidia kwa kadiri ya mapenzi yake.Pia nenda kwa madaktari bingwa wanaweza kukusaidia zaidi.
 
Simama katikaneno hili:"Nayaweza Mambo Yote Katika Yeye Anitiaye Nguvu“ Hakika hakuna Lishindikanalo Kwa Mungu Wetu .Omba bila kukoma nawe Utashuhudia Uponyaji Katika jaribu lako
 
Pole sana. Hayo ni mambo ya kawaida sana, tafuta mwanamke mgumba uanze nae maisha mtafarijiana na muda muafaka ukifika asili mtoto mchanga umlee.
 
al-baajun

Sikiliza kijana.

Kwanza hiyo "sperm vimeo" inabidi ueleze ni "sperm count" au "motility" yenye matatizo? Yote hayo yanatibika kwa aina moja au nyingine.

Halafu siku hizi kuna hospitali zina specialize matatizo ya uzazi kama si Tanzania hata nje ya Tanzania, utaalam uko mbali sana siku hizi, wale ambao miaka 10 nyuma walikuwa hawana njia ya kutibika kupata watoto sasa hivi wengi wao wanatibika.

Kama functionality ya sperm zako hairidhishi kuweza kumpa ujauzito mwanamke "naturally" basi kuna njia nyingi mbadala.

Hebu funguka tukupe ushauri sahihi na usikate tamaa ni mtihani wa maisha tu. Mbona wengi wenye kisukari wanazaa, ondoa hofu kuna njia mbadala nyingi tu.
 
Last edited by a moderator:
Pole usikate tamaa ya maisha! kwanza kwa sasa kazania masomo ili uwezekufaulu vizuri kwani ukifeli unakuwa unaongeza tatizo juu ya tatizo. Maisha ni zaidi ya motto. Na motto si lazima uliyezaa mwenyewe kuna arrangement unaweza fanya ukapata motto kwa njia nyingine. Ukianza kijishuku mwnyewe utaloose confidence. Kuna mambo mengi ya kufurahia maisha.

Hajasema ana shida ya motto bali mtoto
 
al-baajun ndg. pole... ila kwa ushauri wote huu ulopata, Jiamini kuwa wewe ni CHAMPION, hongera !! acha maisha ya songe mbele...
Al-shafi na mwenyewe Mwenyeezi Mungu !!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom