Bado kuna Wanawake wasiopenda hela

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,975
15,315
Aisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu (mwaka na zaidi) hawakuwahi kabisa kuniomba hela na hata pale walipoomba ni kwamba unakuta kweli ana ishu siriaz na anaomba kiasi ambacho ni rizonabo kabisa, na hata ukimwambia huna anakuelewa wala hachukii.

Na sio kwamba eti wadada hao ni mambo safi la hasha, ni wadada wa kawaida tu tena kati yao wawili nakumbuka walikua ni singo mazaz. Mara nyingi ilikua ni mpaka mimi mwenyewe nione aibu ndio niwatoe ila nikikausha hawaombi. Kwakweli Mungu awabariki sana wadada wa namna hii, nataka ku aplodi picha zao naona zinagoma.

Vipi na wewe ulishakutana na hawa viumbe adimu?

1621401205993.png
 
Demu akikupenda na akijua hali yako hakuombi hela ovyo! Only wrong patners ndio huomba omba hela kama kuna kukomoana hivi
 
Itakua walikua na malengo na wewe ndio maana walikua hawakuombi hela. kinyume na hapo utapigwa mizinga zaidi ya ile 21 anayopigiwa Rais.
 
Back
Top Bottom