Bado kuna Wanawake wasiopenda hela

Bado kuna Wanawake wasiopenda hela

Wadada wa namna kama hiyo walishakufaga miaka ya 50 ila... Kama hao ni miaka ya sasa ulikua unasaidiwa kutoa huduma we lala tu nakujisifia.

Kwani we unadhani ukiwa unaombwa hela ndio uko peke yako?
 
Yupo anaelipia kodi ya nyumba tuu

Yupo anaelipia DSTV+bili za maji

Yupo anaelipia mavavi+nauli za town

Yupo anaelipia hospital checkup

Yupo anatunza +kulipia mtoto shule kama unae single mother

Yupo anaelipia transport kama itaonekana nyumbani kwao Kuna matatizo ili aweze kusafiri(mkoani)

Sasa hapa mimi sijui nichague kipi maana nikisimama nchale nikichuchumaa nchale

Kazi kuzana ila wanawake wanatukazia
 
Isipoombwa wewe ujue kuna mwenzio anaombwa!!!

Jiongeze


Kwanza mwanaume kwa nini usubirie kuombwa????
 
Yupo anaelipia kodi ya nyumba tuu

Yupo anaelipia DSTV+bili za maji

Yupo anaelipia mavavi+nauli za town

Yupo anaelipia hospital checkup

Yupo anatunza +kulipia mtoto shule kama unae single mother

Yupo anaelipia transport kama itaonekana nyumbani kwao Kuna matatizo ili aweze kusafiri(mkoani)

Sasa hapa mimi sijui nichague kipi maana nikisimama nchale nikichuchumaa nchale

Kazi kuzana ila wanawake wanatukazia
Jipange usimamie vyote.....
 
Tabia ya kuomba omba ni ya kujiendekeza tu, wapo wadada mi nshakutana nao japo ni wachache sana ila wanapambana na hali zao.

Hawa wenyewe tabia za kuomba omba ni wasumbufu mpka kwa ndugu zao.
Kuna wanawake wanaomba Ela mpk unajiuliza kabla ajakutana na Mimi ALIKUA anaishije uyu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom