Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua.
Hata kama huambiwi wazi kuwa umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu.
Unapiga simu wiki nzima haipokelewi, unatuma text hazijibiwi, unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua.
Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni?
Tujifunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.
Mkipendwa shida mkikataliwa shida...ili mradi hamueleweki.
Aiseeee....maisha haya nyie acheni tu....mwanzo na mimi nilikuwaga mgumu hivyo hivyo kuelewa lakini siku hizi ukichwa maji umenitoka naelewa fasta usipime....
Afadhali sasa tutapumua ....
Dawa ya mtu anaekung'ang'a nia.......ni wewe kumng'ang'ania pia......
Pole sana!Yani hizi mada nyingine unaweza ukasema umeanzishiwa ww daah!
Sasa unashindwa nini kumwambia kuwa humtaki tena? wewe ni mwanaume kweli? huyo ndio mwanamke anaejielewa,kwanini asikutafute wakati haujamtamkia neno kamw mara ya kwanza ulivyo mwambia kuwa
Nafikiri umenielewaKaa utulie umalizie ulichotaka kuandika.
Utapumua wewe unanihusu nini? Unanijua?
Siitaji kukujua sitapunguza au kuongeza anything in my life,siitaji kukuhusu huna mpya lolote
Nkt
jamani wee mkaka mshukuru mungu kama unae anae kung'ang'ania kama unasababu za kutokumwambia ukweli kua humtaki hukua na sababu za kuyaleta humu au yupo humu nini?? nafikiri atakua na whatssp na fb account plus tweet mfikishie ujumbe na huko lkn kumtwisha mtoto wawatu ugonjwa usio na tiba sio busara kumbe hukumtaka wakudumu si ungemwambia mimi na ww chapa ilale nina mambo mengine sipo kuoa akajua kua mnafanya for funny akipata muelewa amkubalie umemvunjia riziki zake kibao umemtambulisha mpaka kwa panya wako nyumbani leo nyoko nyoko humu nyamaaaa weeee kichwa kama tikiti maji tena naomba mungu akuroge kabisa ushike adabu akijamba umpe pole kama hujamramba mpaka magaga ndio maana mnarogwa nyie mkia kabisa wewe