Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Maandamano yatakayofanyika nchi nzima yanakuja. Najua ndugu mtanzania umetega sikio kutaka kufahamu ni maandamano ya nini.
Ndugu zangu watanzania maandamano yajayo ni maandamano ya kushinikiza kutofanyika uchaguzi kwani lengo ni kuendeleza maendeleo kwa gharama kubwa ya hela zitakazotumika kufanya uchaguzi ambao kimsingi hauna maana kwani hautabadili matokeo yaliyopo sasa pili kwenye maandamano hayohayo tutakuwa na lengo la kumuomba Rais magufuli akubali ombi la wananchi kuendelea kutuongoza hata baada ya miaka 10 kuisha tutaandamana hadi kieleweke maandamano yatafanyika tanzania nzima naamanisha kila mkoa ccm oyee magufuli oyee.
+254752679213