Kuna wanajeshi Watanzania Iraq?

Hiyo ni photoshoped na nitawaeleza kama nilivyowaeleza kuhusu ile picha ya Mwanamama wa CUF alionekana kulala bungeni ,ila hapa inataka uone tofauti ya kivuli ,kitu ambacho wengi ya wanaotumia photoshop huwa wamejawa na jazba na factor hii ya kivuli huwaumbulisha vibaya sana.Nimegundua kuna kivuli kwa chini ya bendera kitu ambacho kisingekuwepo kwani huwa bendera imeganda na si yakutoa kivuli,vilevile ukitazama juu ya bega kuna kikoti ambacho kwa jinsi ya kivuli cha bendera kilivyoangukia basi na lile pango la kikoti ambalo ni kubwa nalo lingetoa kivuli kilichokaribia nje kabisa lakini kinaonekana kivuli chake hakipo kimemezwa kwa ndani.
Jengine huyo jamaa ni mzungu kutoka kikosi cha mizinga au kwenye magari ya deraya na ukitaka kumuona uzuri ,copy the properties of the picture .itaonekana kama inavyofuata bila ya mabano { http://www.} jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=1967&d=1218536045
na paste kwenye bar halafu kama unatumia explore 7 and above unaweza kuikuza picha mpaka kwenye 400% chini mkono wa kulia wa browser yako kipo kinakuwepo kitendea kazi hiyo ,unauona upande wa uso wa huyo jamaa kuwa ni mzungu na si mwafrika japo wapo waafrika weupe.
Rangi zetu nyeusi zinafanana na kivuli hivyo kusingetokea alama yeyote ya uso kama sikio na rangi nyeupe kwenye sehemu za mashavu au shingo ambayo imejifichaficha,halafu sidhani kama wabunge watauvaa mkenge wa kwenda kuuliza suala hilo itakuwa nao hawana muelekeo wanakotomezwa ndio huko huko.

Sasa swali linakuwa, kwa nini AP/Reuters or is it Yahoo wafanye usanii wa kuweka bendera ya TZ hapo??!!
 
r930660664.jpg
 
Mkuu ina maana nani kaifanyia manuva pic hii? yahoo au? angalia [media]http://news.yahoo.com/nphotos/US-Military-Diyala/ss/events/iraq/010403armedforces/im:/080810/photos_ts/2008_08_10t083551_373x450_us_iraq_zebari/[/media]
 
Sasa swali linakuwa, kwa nini AP/Reuters or is it Yahoo wafanye usanii wa kuweka bendera ya TZ hapo??!!
Ndipo nikasema imefanyiwa usanii tazama hii picha ambayo inaonyesha ile bendera ambayo inamstari mwekundu/katikati.Na ile aliyeileta amesema ameitoa kwenye blogu ya kibongo hivyo ni dalili tosha kuwa alieiweka huko haitakii mema serikali ya Muungwana na ndio ninavyowahesabu watu hao kuwemo katika kundi la mtandao dhidi ya Serikali ya Kikwete na sio CCM maana wote ni CCM.Mtazameni huyo jamaa baada ya kuvuliwa kofia na picha kuwekwa kwenye 2D ,ahsante Mwanakijiji kwa kuweka hii link ,ambayo imedhihirisha ujuzi nilionao kuwa yule ni mzungu na kama anayoonekana sehemu ya uso imeraruliwa na shrapu ,ndie yuleyule .
r930660664.jpg
 
Ndipo nikasema imefanyiwa usanii tazama hii picha ambayo inaonyesha ile bendera ambayo inamstari mwekundu/katikati.Na ile aliyeileta amesema ameitoa kwenye blogu ya kibongo hivyo ni dalili tosha kuwa alieiweka huko haitakii mema serikali ya Muungwana na ndio ninavyowahesabu watu hao kuwemo katika kundi la mtandao dhidi ya Serikali ya Kikwete na sio CCM maana wote ni CCM.Mtazameni huyo jamaa baada ya kuvuliwa kofia na picha kuwekwa kwenye 2D
r930660664.jpg
Haijatoka kwenye blog ya kibongo.......imetoka yahoo imepigwa na mwanahabari wa Reuters
 
Baada ya kuangalia kwa karibu na jinsi ninavyoelewa hiyo nembo inafanana tu na rangi ya bendera yetu lakini naamini ni patch ya special forces wa Iraq.
 
images

Hiyo inafanana na bendera ya namibia lakini kwa jinsi ilivyokuwa ndogo nimeshindwa kuthibitisha kama ina nembo ya jua.
 
Fidel ndugu yangu, Kamuone daktari haraka iwezekanavyo maana hiyo rangi nyekundu ndugu yangu haipo. Au labda uliruka darasa la kupaka rangi nursery school. Maana niiangalia elimu ya chekechea ya nyumbani, crayons hamna tunabaki kuimba namba na imla kutwa!

Bi Mkubwa basi na mimi inabidi nikatazame macho kwa daktari :) Maana mimi pia naona rangi hiyo kama nyekundu na wala siyo nyeusi.
 
Kama ni kweli tumepeleka majeshi Tanzania that would be a clever thing. As long as kutuma huko Jeshi sio mzigo kwa Tanzania, ni very good experience kwa Tanzania kuna mengi ya kujifunza, sidhani kama kuna lolote tunaweza kujifunza sherlisheli, huko ndio kwenye battle na threats za kweli.
 
Katika swali la msingi ndani yake kuna swali jingine ambalo naamini linapaswa kuulizwa na ambalo laweza kutoa jibu:

a. Je kuna mwanajeshi yeyote wa Marekani mwenye asili ya Tanzania anayepigana Iraq? Jibu la swali hilo kwa kadiri ninavyojua ni ndiyo. Wapo vijana wachache wa Kitanzania waliojiunga na jeshi la Marekani na sasa hivi/wamewahi kupigana Iraq. Hawa sasa hivi ni Wamarekani au wako mbioni kuupata uraia wa huku (Kumbuka kujiunga na jeshi la Marekani siyo lazima uwe raia, unahitaji kuwa na Permanent Residence). Je yawezekana huyo ni mmoja wao?

b. Je kuna askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambaye anashiriki mapigano Iraq chini ya Jeshi la Marekani au pamoja na Jeshi la Marekani? Nina majibu mawili. Inawezekana, chini ya mamlaka ya Kikatiba ya Rais ambayo tumempa nguvu ya kumuamuru mwanajeshi yeyote kutekeleza majukumu fulani ndani au nje ya nchi. Katika nguvu hiyo ya Kikatiba Rais halazimishwi kulijulisha Bunge deployments ya troops wetu.

Jibu la pini ni hapana kwani kwa kadiri ninavyofahamu Tanzania haina mkataba wa kusaidiana vitani kijeshi na Marekani. Kama mkataba huo upo ni lazima Bunge lingepaswa kujua. Kwa vile Dr. Slaa yuko kwenye mtandao anaweza kuuliza swali hili siku ya Alhamisi kwa Waziri Mkuu.

Kwenye hiyo issue niliyo-Bold nimeambiwa na Mbongo aliyeenda Iraq kwamba unavaa bendera ya USA, kabla ya kuondoka unaapa kwenye katiba ya Marekani na maana yake ni kwamba hata kama Marekani inapigana na Bongo inabidi uwe kwenye side yaoo.
 
Ni sawa na UK, unaampa kumlinda na kumtii Malkia. Unakuwa na bendera ya UK ukimaliza miaka 4 ya huduma unaruhusiwa "kuomba" kuwa Raia wa GB.
 
Fidel ndugu yangu, Kamuone daktari haraka iwezekanavyo maana hiyo rangi nyekundu ndugu yangu haipo. Au labda uliruka darasa la kupaka rangi nursery school. Maana niiangalia elimu ya chekechea ya nyumbani, crayons hamna tunabaki kuimba namba na imla kutwa!

Heshima mbele mama mkwe,
Basi nitakuwa na matatizo ya macho lakini hiyo haifanani kabisa na ya TZ.
 
Hii kweli kali!!! mbona anaonekana kama vile ni mzungu? angalia pua
 
Nimeangalia picha mara mbili mbili na ni kweli inaonekana kama ni ya Bongo. Na kuna kitu kingine, sijui ni mimi tuu au hata wengine, ukisikiliza habari za wanajeshi huko Iraq hata siku moja sijawahi kusikia wanajeshi wa nchi zingine zaidi ya USA, UK na kuna nchi iliwaondoa watu wao. Sikuwahi kusikia hao 2000 wa kutoka Georgia mpaka sasa hivi wanapotakiwa huko kwao, ina maana hakuna mwanajeshi wa nchi ndogo nyingine zozote? na kama ndio hizo sijawahi kusikia wakitangaza kwamba mwanajeshi wa nchi fulani tofauti na UK na US katangazwa kafa huko Iraq. Anyways labda ni mimi tuu.
 
Haijatoka kwenye blog ya kibongo.......imetoka yahoo imepigwa na mwanahabari wa Reuters

Zion Train
Zion Train has no status.
Member Join Date: Thu Jun 2008
Kuna wanajeshi Watanzania Iraq?

WanaJF hii nimeiona kwa Mjengwa nikaona bora tushare,siyo wote mnaokwenda huko
Sasa hapo utasemaje ? Huoni kama hii picha ilionekana na kuvutwa kutoka sehemu nyengine.
Na isiwe photoshoped bado maelezo niliyoyatoa ni sahihi ,kuwa huyo jamaa hana asili ya Kiafrika au ya Uswahilini.Ni mtu mweupe na picha yake ya pili baada ya kuvuliwa kofia imedhihirisha hilo,sasa kuendeleza kama ni Mtanzania naona itakuwa hamna la kuzungumza ,zaidi ya kubishana kwa kitu kisicho na faida hata chembe ,maana ya kuzungumza na kujadiliana yapo mengi sana.
Hili haliuziki katika kuisakama Serikali.
 
Back
Top Bottom